Search results

  1. M

    Ole wako Tanzania, viongozi vijana ni wanafiki haswa Zitto: Posho alisema hivi...

    Nashukuru umewaeleza wazi kuwa ni kweli jana ulisema kuwa hupingi suala la maslahi zaidi kwa wabunge , ila tatizo ni hayo masilahi kuitwa posho. kwa hiyo unaeleza nini hapo kuwa ni sisi wabunge tuu ndio maisha yamepanda ?
  2. M

    Ole wako Tanzania, viongozi vijana ni wanafiki haswa Zitto: Posho alisema hivi...

    Nimelazimika kurejea baada ya kuona kuna watu wanapotosha hoja yangu, Hivi Shibuda si alisema posho iwe milioni kumi na mbili kama Zitto wakamtishia kumwondoa hata ubunge? Shibuda alisema isiitwe posho bali ujira wa Mwiha , si alishitakiw kwenye kamati kuu ya chama chao? Sasa tofauti ya Zitto...
  3. M

    Ole wako Tanzania, viongozi vijana ni wanafiki haswa Zitto: Posho alisema hivi...

    Hivi unajua kuwa Mbunge analipwa shilingi milioni 2.5 kwa ajili ya mafuta kwa mwezi na maana yake ni kuwa kila siku anapewa shilingi 83,333 sawa na lita 37.87 kwa bei ya shilingi 2,200 kwa lita , hata siku ambazo tunakaa Dodoma? Kuna haja gani ya Mbunge wa Viti maalum kupewa hizo fedha wakati...
  4. M

    Ole wako Tanzania, viongozi vijana ni wanafiki haswa Zitto: Posho alisema hivi...

    msimamo wangu upo hapo juu kwani nimesema wengine kutokana na sababu mbalimbali hatuwezi kusema hadharani , ila tunawaunga mkono wenye uwezo wa kusema . Mimi hata kama hakutakuwa na posho nina uwezo wa kuendelea kuishi kutokana na pension yangu ni nzuri tuu kwa wastani wa maisha ya kitanzania .
  5. M

    Ole wako Tanzania, viongozi vijana ni wanafiki haswa Zitto: Posho alisema hivi...

    Birigita, kwa taarifa yako nimelitumikia hili taifa kwa muda mrefu sana ,nimesema nasikitikia taifa langu kwani wale vijana niliowadhania kumbe sio , Kama unaheshimu waliokuzidi kidogo kwa lolote acha matusi jibu hoja ama kosoa kwa staha kidogo.
  6. M

    Ole wako Tanzania, viongozi vijana ni wanafiki haswa Zitto: Posho alisema hivi...

    Binafsi nilikuwa namwona kama nuru miongoni mwa vijana viongozi wa kisiasa nchini ,ila tangu jana nimesema ntakuwa namsikiliza kwa masikio mawili na kumtizama kwa macho mawili , nitapima kauli zake kwa kina sana .
  7. M

    Ole wako Tanzania, viongozi vijana ni wanafiki haswa Zitto: Posho alisema hivi...

    kuhusu umri nimejieleza hapo juu kuwa naonea huruma taifa langu kwani wale vijana niliowafikiria kumbe hawafai kuachiwa nchi maana ni wanafiki
  8. M

    Ole wako Tanzania, viongozi vijana ni wanafiki haswa Zitto: Posho alisema hivi...

    hii ni sehemu ya gazeti la Mwananchi leo, JK abariki posho mpya za wabunge Send to a friend Monday, 30 January 2012 20:54 0diggsdigg Rais Jakaya Mrisho Kikwete KILA MMOJA KULIPWA 330,000 KWA SIKU, ZITTO, MAKAMBA, KIGWANGALA WASULUBISHWA KWA KUZIPINGA Waandishi Wetu, Dodoma...
  9. M

    Ole wako Tanzania, viongozi vijana ni wanafiki haswa Zitto: Posho alisema hivi...

    Zitto ni mnafiki hakuna anachotetea , ila anatafuta hoja za kuugilibu umma wa watanzania ,huku akiwa kwenye vikao ni unafiki mtupu anaendekeza , nimeamua kuweka wazi hapa na kama anabisha aeleze kwenye press yake anayotegemea kuifanya leo nini alisema kwenye kikao.
  10. M

    Ole wako Tanzania, viongozi vijana ni wanafiki haswa Zitto: Posho alisema hivi...

    Tatizo kuna watu mnashambulia bila kujua mantiki ya hoja yangu, soma gazeti la Mwananchi la leo utaona kifungu walichomnukuu Zitto akisema kuwa tatizo wabunge they think small...... hapo hapo anasema kuwa walipaswa kujenga hoja kuwa nishati ya mafuta imepanda bei na hivyo ndio iwe sababu ya...
  11. M

    Ole wako Tanzania, viongozi vijana ni wanafiki haswa Zitto: Posho alisema hivi...

    Jana nimeisikitikia sana nchi yangu Tanzania, na haswa kwa kuwa na kizazi cha viongozi vijana ambao nilikuwa naona kama wangeliweza kuja kulisaidia hili taifa hapo siku zijazo , lakini nimegundua kuwa kumbe ni wanafiki. Naomba kurudia ni wanafiki. Hawa ni kijana Zitto Kabwe ambaye kwa kweli...
Back
Top Bottom