Umeme hautapanda wala hakutakuwa na bei mpya January 2013, hii ni kauli ya Waziri wa Nishati na Madini alipokuwa anahojiwa na ITV- Kipindi dakika 29/10/2012.
Heshima kwenu!
Najitokeza kwa mara kwanza kuanzisha mjadala unogusa maslahi ya taifa.
Jana nilikuwa nikimsikiliza Prof. Sospiter Mhongo waziri wa Nishati na Madini (Kipindi Dakika 45 ITV)
Kimsingi ameeleza namna jinsi ambavyo tafiti zilizofanyika kuonekana kwa kiasi kikubwa cha Gas...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.