Search results

  1. M

    Tahadhari kali kwa nyote mlio na magari binafsi; chunga sana na waambie wengine!

    Nimefuatilia uzi huu kwa makani sana. Hongera sana mkuu mwasisi.
  2. M

    Nini Mtazamo wa Jamii kuhusu Magenge ya Kialifu kama "Panya Road"

    Hodi wana Jamvi na watanzania wenzangu, Imelanilazimu kandika humu ili kutoa mtazamo wangu kuhusu yanatokea katika jamii yetu hasa kuhusiana na uhalifu na wahalifu panya road wakiwa ni sehemu tu wengi au ya makundi ya jinsi hiyo. Nakiri kuwa sina uelewa mpana sana wa mambo ya kiinteligensia...
  3. M

    Natafuta Kiwanja maeneo ya Tabata Kisukuru/Tabata Kimanga

    Wasiliana na shemeji yangu anacho 0754 278 663 Hamna dalali hapo All the best
  4. M

    Nyumba Ya Ghorofa Inauzwa Siberia, Makongo Juu

    Mkuu kama ilivyo wewe utatoa tshs ngapi?
  5. M

    Natafuta shamba la kununua Moshi

    Wadau wa jamvini Habari. Natamani kununua shamba Moshi, maeneo ya kuanzia Machine Tools mpaka Uchira. Eneo linalofaa kwa kuishi na kilimo/Ufugaji minimum ekari 2. Umbali wa kutoka huduma za maji na barabara uzingatiwe ikiwezekana. Mwenye tetesi awasiane kwa 0754480 513 / mahomamat@gmail.com...
  6. M

    Nyumba Ya Ghorofa Inauzwa Siberia, Makongo Juu

    Nilishindwa ku upload recent photos ila imesogea zaidi ya hapo. Ukifika utaipenda hata kama hutaki kununua. Wakati mwingine huitaji kuwa fisadi wako watu wamebarikiwa na Mungu kwa juhudi za haki unaweza kuwa wewe ukainunua Mkuu. Karibu
  7. M

    Nyumba Ya Ghorofa Inauzwa Siberia, Makongo Juu

    The advert is no longer active
  8. M

    Natafuta Milunda na Mbao Zilizotumika

    Umeshapata hiyo mirunda na marine? Mimi ninayo 200 na marine 50 ,12'' vyote vipo makongo mwisho Kama bado unahitaji nipigie 0754 480 513
  9. M

    Naweza pata nyumba kwa mil 15?

    Ipo moja makongo mwisho kwa hiyo ila ina uwanja mdogo mpigie huyu jamaa George 0715957018
  10. M

    Nauza generator- apollo, 5.5 hp

    Generator ndogo inauzwa DSM Aina: Apollo, AP3900 DXE, HP 5.5, Japan Technology. Hali yake: Jino moja tu inawaka. Ni kama mpya. Uwashaji: Inatumia Betri (Imekufa) na kamba ya kuvuta. Matumizi: Ina uwezo wa kuwasha fridge, pass, blender na taa bila shida. Mafuta: Petrol na tank lina uwezo...
  11. M

    ITV yaanika kila kitu na ushahidi wa kutosha kuhusu mauaji ya mwandishi huko Iringa

    Mtu mmoja kasema waandishi wawe na msimamo ila kama sio wa akina '' ULI". Mimi nachelea kwani mimi ni mmoja wa akina ULI, kuna mahali hawa jamaa wa media hawakutendea haki. Baadhi yao walikuwa wanaripoti tofauti na hali halisi, ama kwa "kutumiwa" au kwa kutofahamu. Sasa hili linawahusu wao. None...
  12. M

    Hapana Chezea Wadada Wa Mjini Daslamu..

    Usishangae ndugu, kama uliwahi kuhonga vocha ya buku au buku ten na hukufeel maumivu ndo hivyo wenzio wanahonga magari na nyumba na hawana maumivu kwani wananzo za kutosha. Cha ajabu tu ni kwamba wana ndugu zao wahitaji ile mbaya huko vijijini lakini wagumu kweli kutoa msaada. We unafikiri kama...
  13. M

    Nauza Kiwanja Changu Makongo Juu

    Nauza kiwanja Makongo Wapi? Makongop Juu, CCM unakata kulia kilomita 4 tu kutoka Mlimani City Ukubwa? mita 45 kwa 44 Bei? milioni 46 Sifa zingine? . Umeme Mazungumzo yapo kwaaliye serious
  14. M

    Tushamng'oa Blandina, sasa zamu ya Mary Nagu & Stephen Wassira

    Nasikitika katoka na roho za watanzania wengi wasio na hatia.
  15. M

    Madaktari bingwa Muhimbili waanza mgomo rasmi

    Ni Mtazamo wako japo sio sahihi. Sisi kama senior tulibaki ku-cover dharura kwani umesikia juniors wakilalamika kuwa sisi mafisadi. Tumewapa wananchi heshima ghafla tumukuwa mafisadi? Poor you ?????!!!!!!!!!!!!!!!!!!!................
  16. M

    Madaktari bingwa Muhimbili waanza mgomo rasmi

    Wana JF ni kweli mimi ni mmoja wao na ndo msimamo wetu kwa sasa lengo ni kuona jambo lini linapewa kipaumbele stahiki kwani ni mwezi tangu sakata hili lianze. Wagonjwa wameteseka na wanaendelea kuteseka. Nilisikia kulengwa na machozi wakati uhamuzi huu unatoka lakini pengine ndo njia pekee...
  17. M

    Mgomo wa madaktari unaendelea; Watanzania tuungeni mkono

    Kurudi kazini na kufanya kazi ni vitu viwili tofauti. Ni watu wanagapi tunawasikia kuwa wanafika ofisini wanawasha computer na kusoma magazeti lakini hakuna kazi waifanyayo hata some government officials wanajua hata wewe unajua pia. Ni sawa na kumlazimisha mtoto shambani aendelee kupanda mbegu...
  18. M

    Mgomo wa madaktari unaendelea; Watanzania tuungeni mkono

    Wana JF nashukuru kwa mchango wenu kuhusu sakata la watoa huduma wa afya na Serikali. Mimi kama mmoja kama mhusika, napenda kutoa hoja kwamba wachangiaji wengi pamoja na uhuru wao wa mawazo, sina shaka wengi wao/wenu hawako informed ni nini kiini cha madai haa na hatua zilizochukuliwa hadi...
Back
Top Bottom