Search results

  1. N

    Mchungaji wa KKKT mbaroni kwa kumbaka binti wa miaka 15 mbele ya mdogo wake

    Ripoti ya daktari inasemaje kwenye hiyo taarifa iliyovuja?
  2. N

    Mchungaji wa KKKT mbaroni kwa kumbaka binti wa miaka 15 mbele ya mdogo wake

    Miaka 15 bado ni mtoto usimpe lawama katika hili, yeye hakuona hatari yoyote ndio maana akaenda na mdogo wake wa miaka 4!
  3. N

    Mchungaji wa KKKT mbaroni kwa kumbaka binti wa miaka 15 mbele ya mdogo wake

    Mungu tuepushe na vitendo vya kikatili kwa watoto
  4. N

    Mzazi wangu amekogoma kupokea posa ya mwanaume wa kiislamu

    Una uhakika kama ni mgonga nyundo?.....hata kama mgonga nyundo shida ipo wapi? Mpigwa mpini amekubali tena ameenda shule vizuri anajua anachohitaji.....
  5. N

    Mzazi wangu amekogoma kupokea posa ya mwanaume wa kiislamu

    Aah aah aah aah🤣.....wangemruhusu tu mtoto amepelekewa moto na ameuelewa!
  6. N

    Hivi Karia lini anamaliza Mhula wake wa Uongozi?

    Kweli kabisa wamebadili!!
  7. N

    Mzazi wangu amekogoma kupokea posa ya mwanaume wa kiislamu

    Naona wanaolewa familia nzima....
  8. N

    Mzazi wangu amekogoma kupokea posa ya mwanaume wa kiislamu

    Labda Abdul ameitoa ile kitu.....asikilizwe tuu!
  9. N

    Hivi Karia lini anamaliza Mhula wake wa Uongozi?

    Sahau kumaliza muda wake,walishabadili katiba!!
  10. N

    Katibu Mkuu wa CHADEMA, John Mnyika afunga ndoa

    Dah umeongea jambo la msingi sana wakati nipo kwenye ubora wangu nilibahatika kuwapitia hao madada wa mjini baada ya hapo nikaoa nimetulia tuli na familia yangu.
  11. N

    Katibu Mkuu wa CHADEMA, John Mnyika afunga ndoa

    Mheshimiwa wa awamu ya tatu alikuwa na mke?
  12. N

    Jeshi la Israel walichokutana nacho kambi ya Jabalia ni lazima wakimbie. Rafah itakuwa ni hivyo hivyo

    Haya mambo ya vita yaishe sasa naona sehemu zote zenye machafuko Duniani wananchi wasio na hatia ndio wanaoteseka,!
  13. N

    Hasira yatawala Moscow baada ya NATO kuiruhusu Ukraine kushambulia ndani ya Russia kwa silaha za NATO

    Naomba hiyo vita ya NATO na Urusi isitokee hadi nifike ulaya...maana naona Africa maisha yatakuwa magumu sana!
  14. N

    Nawapongeza Baraza la mitihani(NACTE) kwa kufuta machaguo kwenye mitihani wa hisabati.

    Baraza la Mitihani la Taifa(NECTA) limefanya mabadiliko kwenye mitihani ya kuhitimu elimu ya msingi kwa kuondoa machaguo ya majibu kwenye somo la hisabati kuanzia mitihani ya mwaka huu. Pia wanatarajia kufanya mabadiliko kama haya kwa ngazi ya sekondari kwenye masomo ya Fizikia, Kiingereza na...
  15. N

    DOKEZO Shule ya Msingi Kitonga (Dar) ina Wanafunzi 4,000, Walimu 14, Madarasa 13

    Serikali yetu huwa haina mipango madhubuti hususani kwenye sekta za elimu na afya!
Back
Top Bottom