Search results

  1. C

    Mwanasheria atekwa, apigwa, aachwa porini

    aisee jamaa unaakili sana! yaani kweli serikali ndio mbinu wanajaribu kutumia ili wananchi tuamini kuwa utekaji wa Dr. ULI ulitokana na wananchi1! Hawatupati ngooooo!
  2. C

    Dr. Ulimboka: Hali ya afya (Updates)

    Kitendo alichofaniywa ulimboka na Mungu kumponya ni kielelezo tosha kwamba Mungu amechoshwa na madhambi ya serikali yetu sasa ameamua yeye mwenyewe kujionyesha. Wana jamvini ukweli ni kwamba kwa mateso aliyoyapata Dr. Uli katika hali ya kawaida ilikuwa si rahisi kupona! lakini tujiulinze ni...
  3. C

    Yuko wapi huyo Dr.Deo aliyekuwa na Dr. Limbuka wakati anatekwa

    Jamani mie naona pia tufikirie sana kiundani; inawezekana pia kuna uwezekano wa Dr. Deo kuhusika na vitendo vya unyama alivyofanyiwa Dr. Ulimboka. tafadhali hebu tulitafakari hili kwa undani! mimi nafikiri baada ya watekaji kugundua kuwa Dr. Uli hajafa ndipo ikabidi kuwaficha wale ambao...
  4. C

    Dr. Ulimboka apelekwa nje kwa matibabu zaidi...

    Mungu wetu aliye mwaminifu akutangulie katika safari yako, na neema yake ya uponyaji ikawe juu yako! Upanga wake ukawe juu ya wale waliotenda yale ambayo yapo kinyume na mapenzi yake! Kuuwa ni kazi yake mola! si vyema kuingilia kazi ya Mungu! Get well soon Dr. Ulimboka.
  5. C

    Zitto alipuka tena bungeni

    Nini maana ya kufanya re-submition? ni uchizi na kwamba hata huyo mama si mtendaji! yaani kamati itakuwa inafanya kazi ya kure-submit everyday! shame mama makinda hebu tafadhali jiheshimu na waheshimu pia watanzania! mama tunauchungu sana nawe jinsi ambavyo unawanyima wabunge wetu haki zakusema...
  6. C

    Wananchi wa Arumeru Mashariki kumsindikiza Nassari bungeni

    Wadau naomba kuwapongeza sana kwa hoja nzuri! kweli nimeamini kuwa tuna wananchi makini sana ndani ya CDM. kumbe CCM walikuwa wanavifunika vipaji vyetu! Wazo la mdau hapo juu ni la msingi sana! Tuna TV za kutosha, nakutokana na ushindi wa arumeru sisi kama wanachadema wote tumejewa na furaha...
  7. C

    Mtoto kiume wa Lowassa aandaliwa kuchukua jimbo la Monduli

    Mimi naamini kwa mtu mwenye akili timamu hawezi kumchagua EL,aliyotufanyia yanatosha na kama hao ambao wanataka kumchagua wananufaika wao wenyewe badala ya watanzania wote basi mkae mkijuwa mwisho wenu utafika tuuu. Na Ikatotea wamemchagua basi tutajuwa kuwa Tanzania yetu ina vichaa wengi.
  8. C

    Kauli inayomgharimu Hadji Mponda dhidi ya Madaktari

    Hapo ndipo utakavyo ona baadhi ya wanasiasa wetu walivyowabinafsi! yeye anajali wapiga kura wake tu! sasa JK alitakiwa kuwajuwa watu kama hawa mapema ili asiwape hayo madaraka yaani kuwa waziri! OMBI: Wadau wenzangu mimi ni mwana CCM lakini ninachowaomba tuungane paoja kuhakikisha tunathubutu...
  9. C

    CV ya Waziri Lucy Nkya

    Itapendeza sana kama Dr. Nkya na Dr. Mponda wakajiuzulu wao wenyewe ili kuhakikisha heshima zao zinabaki pale pale kuliko haya ambayo yanaendelea! Unajuwa ukiona hivi ujuwe watu wamechoka nao! Sasa mimi kinanishangaza sana kuona bado wanangangania hivyo vyeo. Kwa kweli nadhani kwa sasa wanaishi...
Back
Top Bottom