Search results

  1. kanene

    Nitajie tarehe yako na ya mwenza wako nikwambie mpo vipi na hatima yenu, siri yake n.k

    Asante sana mkuu.. yaani kila kitu ulichoongea nakiona kinafanana na maisha tulonayo..sijui nifanyeje maana tumeishi miaka mitano na tayari tuna watoto wawili wazuri kwelikweli. Hatujafunga ndoa kila tukipanga linatokea jambo la kuahirisha. Sijui nifanyeje
  2. kanene

    Mahakama ya Kisutu yawahukumu Mawaziri wa zamani, Basil Mramba na Daniel Yona kwenda jela miaka 3

    Mramba hatakaa jela muda mrefu,mtaona anapata msamaha mwezi 12 au wa 4 mwakani! Kesi ya biliones of hela mtu anafungwa miaka 3 na kifaini cha milioni5.. Hii ndo Tz jamani. Nchi nyingine nadhani wangeozea jela
  3. kanene

    Kiwanja kilichopimwa kinauzwa Dodoma

    bado kipo mkuu?
  4. kanene

    Pick up Nissan inauzwa Arusha

    Ok mkuu...niambie ina engine gani na pia ni double cabin au ni single?
  5. kanene

    Pick up Nissan inauzwa Arusha

    Picha mdau..tuanzemaongezi
  6. kanene

    Natafuta Toyota Hiace Supperoof Engene 3L au 5L

    Zinafaa ila mimi sjawahi kufanyia biashara..naanza na 15. Maongezi yapo. kama upo serious ni pm.
  7. kanene

    Carina TI inauzwa

    Tuwekee picha sugar m
  8. kanene

    Natafuta Toyota Hiace Supperoof Engene 3L au 5L

    Ninayo van, engine 3L naitumia mwenyewe, namba ni A imetembea km 142,670, Rangi iliyokuja nayo, sijaweka siti. Ni manual transmition..Kama vipi tufanye biashara
  9. kanene

    Msaada

    Jamani wanajamvi natafuta mtu ambae ameshawahi kufanya biashara ya export&inport kati ya tanzania na sweden. Kuna jambo nahitaji kusaidiwa.
  10. kanene

    Msaada:mkataba wa ajira ndogondogo

    Habari zenu wandugu..mimi nimefungua kashughuli ka duka la reja reja. kwa kua nimekua ni mtu wa kutoka mara kwa mara nataka niajiri mtu kwa mkataba mdogo ili walau niweke mazingira ya ulinzi wa haka kaduka. Mwenye kuelewa naomba anisaidie japo hata kwa mfano mdogo.
  11. kanene

    Aibu ya mwaka kwa Mwigulu

    Pamoja na hujuma zote alizofanya mwigulu kujaribu kuvuruga mkutano wa chadema ambao kimsingi ulikua wa maana sana kwa wananchi wa jimbo lake (iramba magharibi)...amejiaibisha mno na kujishusha kisiasa sana. wananchi wamehudhuria mkutano na bado baadhi wamekwenda kuangalia mechi ya bure kati ya...
  12. kanene

    Bungeni: Mwigulu achafua upepo, Lissu atolewa nje ya bunge, agoma! Bunge lakatishwa kabla ya muda...

    TBC hawana lolote .....pumbavu ssana wamekata matangazo makusudi kabisa
  13. kanene

    Msaada-swimming pool

    Wabari zenu wandugu Waomba kusaidiwa namna ya kujenga swimming pool,huku ninapoishi hakuna wataalam. Mwenye kuelewa kuhusu ili naomba msaada wake tafadhali. Nawasilisha!
  14. kanene

    Vijana wasomi wa aina ya Mwigulu Nchemba wana 'Significant Contribution' kwa TAIFA?

    Write something... TANURU LA FIKRA RECENT POSTS Mwigulu Nchemba CHADEMA WALIPANGA NA KUTEKELEZA MAUAJI YA RAIA WASIO NA HATIA YALIOTOKEA NDAGO NA MOROGORO. WALIPANGA KUMUUA MUSA TESHA WA IGUNGA KWA KIPIGO NA TINDIKALI ILA MUNGU AKAMSAIDIA AKAPONA. MIPANGO HII ILIFANYWA NA...
Back
Top Bottom