Siku nyingi nimesahau hizi nyimbo lakini pata kipande.
Mawe Maria oli byela bwaitu,
Omwigulu na mahanga gona,
Nitukuramya nyineichwe omurungi,
Nebwela bingi,otuhulile
Nitumanya okwoli muzaile
Omwigulu batuganyile Mawe.
NA HIYO
Mwana wange ninye Yezu,
Ninye balya Omu-karistia...
Raha ya uzinzi usishirikishe watu,wewe take risk,time will tell.Tegemea anaweza kuwa mzuri ukafaidi,pia anaweza kutega ukanawa kabla hujala UKALIWA.tunza siri.
Asijaribu ku-do kabla ya ndoa ila binti aking'ang'ania wewe niunganishe na huyo bi harusi nilale naye kabla ya harusi,hii ni ktk kumsaidia bw harusi asitende dhambi kulingana na imani yake.
Labda si lugha nzuri lakini nasikitika kusema kwamba tumekuwa na viongozi walevi, walevi wa madaraka mfano wa mfalme Luis XVI.Wafaransa walipogundua hilo walifanya lililositahili, mfalme na malkia waliondolewa na adhabu yao ilikuwa ni kukatwa vichwa.
Miaka 50 iliyopita the Asian Tigers...
Kumuua mwakyembe ni njia salama zaidi kwa JK maana ndo mwenye siri ya Richmond! Kosa la kamanda mwakyembe ni kukubali kukata kile kipande kinachomhusisha JK. kwa kawaida majasusi wakikutuma uume mtu waliyemlenga pia huwa wanandaa mtu akuue wewe haraka iwezekanavyo ili kupoteza ushahidi...
Ukiona mke wako hajui matusi, mfundishe kuendesha gari kisha mruhusu aende mjini.Akirudi atakuwa na furushi la matusi ; hii ina maana MADEREVA walio wengi wanaongoza kwa matusi.
Nchi na watu wake waliofilisika kimawazo hutegemea zaidi miujiza kujiletea maendeleo.Sikuona ajabu watu wengi kumiminikia Loliondo kipindi kile.Sitaki kugusa imani ya mtu, ila hata yaha makanisa yanayo-mea kama uyoga ni dalili ya kutafuta miujiza badala ya kutumia akili na maarifa tuliyopewa na...
Napenda kuamini kwamba mambo ya kukosa uaminifu na tabia ya uzininzi haikuanza leo wala jana, ni jambo la zamani sana.Haina haja kupoteza muda mwingi kujadili kwamba watu wanafanya uzinzi.Ninavyofahamu nchi nyingi hata Tanzania umalaya ni jambo la kawaida sema tunajaribu kufanya siri, leo hii...
Kwenye hili kama JK kweli atalisimamia na kuhakikisha marekebisho yanafanyika, itakuwa ni njia bora ya kuanza kurekebisha makosa yake.Ingawaje hili tu halitoshi ila ni mwanzo mzuri, wanyime posho hao wabunge na sheria kuhusiana na katiba irekebishwe.Pia kamata wezi wote wa mali zetu, tumia LIST...
Hongera mkuu kwa kupendwa na mtoto wa raisi; big up! Naamini kwa umaarufu wako si muda mrefu utapendwa pia na raila odinga baadaye kibaki mwenyewe.Baada ya kenya haikosi utapata mwaliko ukatoe penzi Uingereza kwa David Cameroon.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.