Search results

  1. T

    Wanawake wa kabila la wazinza

    Nashkuru kwa maoni yenu yote ni katika kujifunza, lakini kumbukeni aulizae si mjinga ila anataka kujua haijalishi swali limekaaje ilimradi lime eleweka, nikweli kwamba nimekwisha muliza lakini nae hajui chimbuko lake latoka wapi, anacho jua ni kwamba babu zake walitokeaga mwanza na aliambiwa...
  2. T

    Samahani mume wangu: Halikuwa lengo langu...!

    Hayo ni mambo makubwa sana, lakini me naona kunajambo ambalo mdada kalipata ao kutoka kwa marafiki zake ao kalifikiria tu mwenyewe, pengine wazo kuu ni lile la kumwondoa mmewe ili arithi mali zote. swala la adhabu huyo baba kafanya uamuzi wa busara sana tena ni wa kibinadam zaidi, haja taka...
  3. T

    Wanawake wa kabila la wazinza

    Hii! kwa wote, Nimepata mchumba wa kabila la wazinza, Nawaombeni kwa wale wanao lifahamu kabila hili la wazinza, je wanawake wa kizinza mila zao zikoje? tabia zao kijami na pia kiunyumba zimeka vipi? wanapendelea nini? pia naombeni ushauri wenu,
Back
Top Bottom