Search results

  1. M

    CCM mmeridhika na Livingstone Lusinde?

    Duh! Waziri dizaini hii. Tumekwisha!!!!!!!!!!!!!
  2. M

    Albert Msando: Hatushindani na chama au wanachama wa CHADEMA

    Mimi naomba wansheria wanisaidie, hivi chama ambacho kipo Kisheria hakiwezi kujiongoza kwa katiba yake? Mahakama ina mamlaka gani kung'ang'aniza mtu abaki chama fulani? Chama kiachwe kijiendeshe kwa katiba yake na kusimamia miiko na maadili yake. Hii ni sawa na kulazimishwa kuoa mke...
  3. M

    Albert Msando: Hatushindani na chama au wanachama wa CHADEMA

    Mimi naomba wanasheria wanisaidie,! Hivi mahakama inaweza kuingilia shughuli za chama ambacho kipo kisheria na kinajiongoza kwa katiba yake? Kwanini mahakama isiache chama kisimamie miiko na maadili yake? Naomba wanasheria wanipe jibu napata shida sana ni sawa na mtu anayelazimishwa kumuoa mke...
  4. M

    Msanii Joseph Haule (Prof. Jay) ajiunga CHADEMA

    Hongera kamanda. Big up! Peopleeeees!
  5. M

    Mlipuko mkubwa watokea kwenye Kanisa Katoliki Arusha, watu kadhaa wajeruhiwa

    Silaha wanazotumia kamwe haziwezi kushindana na majeshi ya Mungu!
  6. M

    Tangazo kwa wananchi wa arumeru mashariki. M4c is here.

    Nawapa Hi! wanaArumeru wooote. Big up dogo janja! Jamani hudhurieni kwa kishindo. Mie niko Moshi lakini nawezatia maguu
  7. M

    Tamko fupi la Jumuiya ya Madaktari - Juni 28, 2012

    Get well soon Dr Stephen Ulimboka. Makanisa yote na misikiti ombeni kwaajili ya Dr Ulimboka Mungu amponye. Tumeanza na Mungu, Tutamaliza na Mungu
  8. M

    CCM mmeridhika na Livingstone Lusinde?

    Kweli nimeamini mwisho wa magamba umefika. Kama matusi ndio sera!! Hivi watoto wa Lusinde wakisoma hizi habari wanajisikiaje? Au hana watoto? Shame on him!!!!
  9. M

    Lissu asimama kizimbani kwa masaa 3:30

    Ameanza na Mungu atamaliza na Mungu!!! Ukweli utabakia kuwa ukweli tuuuuuuuuuuuuuuuu!!!!!!
  10. M

    CHADEMA yaibwaga CCM Arumeru Mashariki; CCM Yakubali kushindwa (Zaidi ya kura 6,000)

    Good start CDM! Keep it up. 2015 IKULU moja kwa moja
  11. M

    Wabunge wa CCM wakataa Kuunga Mkono hoja ya Kujadili Mgomo wa Madaktari

    Hapa mimi naona serikali ingewasikiliza madaktari ili kupata muafaka. Wanaoteseka ni watanzania ambao waliwachagua wabunge wanaofurahia posho bungeni. Jamani Serikali iwasikilize madaktari
  12. M

    CHADEMA hawana huruma

    By IVETA jamani hii ziyo siasa! hata mheshimiwa mbunge hajazikwa, tayari vurugu zimeshaanza kutokea kuhusu mgombea wa nafasi aliyoiacha wazi huko aru meru mashariki! kisa hikikilitokea ijumaa mjini moshi pale baada ya tuhuma kutolewa dhidi ya katibu wa chadema mkoa wa kilimanjaro bazil...
Back
Top Bottom