Search results

  1. K

    Are the agents provocateur responsible for church burning in zanzibar?

    What are you trying to portray here you nuts!! my church has been burnt down I got nowhere to worship and you are coming with empty nothings!! Go to hell with your dogmas!!
  2. K

    Alichosema mtatiro kuhusu vurugu za zanzibar

    MTATIRO ni GOGO la chooni!! Akina maalim na Lipumba wakimaliza haja kubwa watalitupa tu yetu macho na masikio!!
  3. K

    Alichosema mtatiro kuhusu vurugu za zanzibar

    Mkuu huwezi kushindana na MAJINI yaache yakae!!!
  4. K

    Alichosema mtatiro kuhusu vurugu za zanzibar

    Huu upuuzi ndio unaudhi bila kipimo eti kiongozi wa kanisa achome kanisa!! hii ni akili ya ndege au panya kabisa kwa wale wenye mawazo kama haya!!
  5. K

    Vurugu Zanzibar, makanisa yachomwa moto!

    Unayetoka mapovu ni weye!! tHatuwahitaji tena this is stupidity kuendelea kuwavumilia kwa muungano wa hasara!! muende mujiunge na wajomba na wanaume wenu wa OMAN/Muscat it is no longer our business!! Ndugu wabara mnaoishi huko waachieni njooni haraka!! wana mpango mkubwa zaidi. Kuna muungano wa...
  6. K

    Vurugu Zanzibar, makanisa yachomwa moto!

    Acha uongo mtu mzima!! hali yoyote vurugu za znz huanzia kwa mashambulizi au ya makanisa au wabara!! nilikuwepo na ujambazi wote znz unahusishwa na "mijitu ya bara" Ifike mahali tunene bila kumungunya maneno wazanzibar wanataka kuwa peke yao na uislamu pekee na kupractice Sharia law...
  7. K

    Mwenyekiti Wa Ukombozi Na Ufahari!

    Mbaazi ikishindwa kutoa maua husingizia jua!! Kila wakati binadamu anatakiwa awe na ustaarabu wa fikra. Mawazo ya kutumwa au kutumiwa huharibu UTU wa mtu hata angekuwa msomi. Nini maada ya thread hii for heaven's sake!!
  8. K

    Vua Gamba Vaa Gwanda Yapata Dhoruba Lindi

    Kudaadeki waeleze hao chingas hata Chemkapa ananyumba na anaishi kaskazini Mlalo lushoto.
  9. K

    Vua Gamba Vaa Gwanda Yapata Dhoruba Lindi

    Nimeishi kusini miaka 10 na lindi mjini ndiyo nimeishi zaidi nikiwa nafanya kazi katika mashirika ya kimataifa vijijini. Nilishuhudia umaskini wa kutisha na mawazo mgando yaliyolalamika daima "sisi watu wa kusini tumeachwa, kuanzia kung'oa reli" hadi ukosefu wa barabara. Nimeshuhudia wanafunzi...
  10. K

    CCM wahofia mkutano wa CHADEMA, wadai kuna mamluki wameandaliwa kuhadaa umma

    Ushauri wa bure kwa CDM wenzangu. Wawe makini na Jitu nene CCM linalokata ROHO. Linatapatapa, linakamata kila kitu, linauma hata godoro linalofia! Wana M4C kuweni mbali nalo ukikaa karibu likikung'ang'ania litakuua au mateke ya kukata roho yatakumaliza KAA CHONJO SAA MBAYA!!
  11. K

    Obama kama Karl Peters; Kikwete kama Mangungo wa Msovero

    Mkuu Kengemumaji Kinachogomba hapa siyo hiyo globalisation unayoipigia debe. Ni upeo wa viongozi kuingia kwenye mahusiano yenye faida. Ardhi ni raslimali isiyooza. Uwekezaji unatakiwa umakini na umahiri wa kuangalia maslahi ya wenye mali. Kuingia mikataba isiyo na tija kwa wavuja jasho wenye...
  12. K

    Lema ataja Mawaziri ‘wazito’ wanaoenda CHADEMA

    Kweli duniani kuna wapumbavu afadhali ungekuwa mjinga ungeelimishwa ukaelimika!
  13. K

    John Shibuda na mgogoro wa Kauli ya kuisifia CCM; Kauli za wana CHADEMA

    Ametumwa na SHIBUDA na CC MAGAMBA.
  14. K

    Wapendwa Wana Chadema Tubadilike

    Kwa nini unakuwa mwongo? Mtu mzima hooovyoooo! Je Mwanza hakuna mkutano!!
  15. K

    Membe amshukia KITINE, amfananisha na "Kingwendu"

    Membe mnatuficha wewe na JK ndugu wa DAMU. Tunaelewa mamake Kikwete ni mama yako pia. Tukikuchagua tutakuwa tumechagua msanii namba mbili!! HATUKUHITAJI JOKA LA MDIMU.
  16. K

    Chadema na vyombo vya dola kunani??

    UMEMALIZA UCHAFU WAKO hapa!? unataka ujibiwe vipi na nani au wewe ni POLICCM? Hii inajulikana kwa sababu Jeshi la kulinda amani ya watanzania wote linaposimamia maslahi ya chama kilicho madarakani tena chama chenyewe cha majambazi wapenda haki wote watakuwa matatani. POLICCM wanajua wanachofanya...
  17. K

    Kweli Lema ni kiboko

    DEMOKRASIA< DEMOKRASI DOMOKRASIA> DEMO POLICCM. time will tell!!
  18. K

    Joshua Nassari MB.

    GRRRRRRRRRRRRRR!!! Wewe ni nani kutoa maelekezo kwa CDM. close your masaburi!! please. Ndiyo JK anaweza kuzuiwa na UMMA wa Atown au popote pale. Si wao ndio waajiri wake. Mnakaa kuanza kutoa woga na kulamba miguu ya waajiriwa wenu BUUREEE! Crazy! Ni wapi umesikia CCM wakiomba radhi kwa niaba ya...
  19. K

    Waziri Mwandosya: Kikwete Angeniacha Nipumzike

    Aaa wapi anatii masharti ya akina "MWANAFYALE" waliompa kuwa "usipokuwa na huyu (Mwandosya) hatukupi kura.
Back
Top Bottom