Lugha ya Kiswahili imechukua (sio kukopa) maneno mengi toka Lugha ya Kiarabu na kufanya sehemu ya utamaduni wake. Shikamoo ni moja ya maneno yenye asili ya Kiarabu. Bila kujali sana maana yake, ni sehemu ya utamaduni wa Lugah ya Kiswahili. Hakuna neno lolote jingine la Kiswahili lenye hadhi na...
Basi haya...tutakuja kuyafix baadae
Mambo Tukinaa
Nimewaka ile mbaya, Nimechalala
Stiki/Ganja = Bangi
Tinabuu
Mche = Sigara
Kifaru/Kimwaga = Mtu wa matumizi/matanuzi
Mkuu ahsante sana kwa nakala hii, kwani hata mimi nilikitafuta sana hadi nikakata tamaa. Niliambiwa nikamuone Mwandishi mmoja maarufu Joseph Mihangwa angeweza kuniazima chake japo nikipige kopi. Lakini sas doh, mkuu ametusaidia wengi
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.