Search results

  1. TAIROCOSTA

    Shutuma bila suluhisho na uthibitisho ni kuhanjahaja

    Mstaafu usijishushie heshima yako. Kuna mtanzania alitesema anafurahia utekaji?? Haipendezi mtu wa kaliba ya Mhe Membe kutoa shutuma asizozithibitisha badala ya suluhisho. Ingekuwa bora angalau umtaje mtekaji ni nani. Mbona humjui pia?
Back
Top Bottom