Search results

  1. RaiaMbishi

    Tetesi za yanayojiri kwenye Vikao vya CCM Dodoma

    Kwa jinsi hali ya siasa inavyoendelea Dodoma, taarifa za uhakika ni kwamba ushindani umebakia kati ya pande kuu mbili, upande wa Kwanza ni wa team lowassa na upande wa pili ni wa team Ridhiwani. Tuki assume kwamba mgombea yoyote wa CCM kiti cha urais atashinda Urais Mwezi Oktoba, je Kati ya...
  2. RaiaMbishi

    Ufisadi wa 200 bilioni Ikulu

    Mtawa ni binamu yake Kikwete. Alimkimbia mkewe hospitali afrika ya kusini 2007 baada ya mkewe kugundulika ameathirika. Mkewe alifariki baadae huko huko afrika ya kusini huku mtawa akiwa amemtelekeza na kurudi dar-es-salaam. Tangia wakati huo amekuwa akitumia vibaya ukaribu wake na kikwete huku...
  3. RaiaMbishi

    Ujasusi wa Balozi wa Uingereza: Tanzania, Can We Stand Au Maselle Kugeuzwa Mbuzi wa Kafara?

    Tatizo ni kwamba huyu masele ni chanda na pete na ridhiwani. Awamu ya nne ukiwa na ukaribu na familia ya rais, na wewe unajiona ni sehemu ya mamlaka hiyo. Masele amekurupuka lakini tusimlaumu kwani alipata baraka zote za ridhiwani kikwete, rais kivuli. Hivyo ndivyo nchi yetu inavyoendeshwa na...
  4. RaiaMbishi

    Chunusi: Chanzo, tiba na jinsi ya kuepukana nazo

    Mpenzi wangu (mwanamke)amepatwa na chunusi nyingi sana kwenye paji la uso, ametumia kila aina ya cream lakini haziondoki,na zimeanza kuwa nyeusi. Ni zaidi ya wiki mbili sasa. Tunaomba ushauri kuhusu daktari au mtaalam mzuri Dar-es-salaam ili akafanyiwe vipimo. Tunajaribu epuka foleni na vurugu...
  5. RaiaMbishi

    JK, endelea kumbeba Membe, ila nadhani unamfahamu rafiki yako Lowassa

    Mnaoendelea kudhania Member atakuwa Rais mnapoteza muda wenu bure. Membe ndiye alikuwa mkuu wa kitengo cha kuchafua challengers wa Kikwete (2005), na alilalamika sana alipokosa uwaziri kamili na badala yake unaibu waziri katika baraza la mawaziri la kwanza. Kina Lowassa walimwelewa kuwa sio mtu...
  6. RaiaMbishi

    Urembo wa vikuku, vishaufu na cheni (shanga) kiunoni kwa wadada

    Hata the next first lady anavaa, check the pic below;
  7. RaiaMbishi

    Eric Mwenda ni nani?

    Katibu Mkuu wa CCM (Kinana) ana kampuni ya ISP - internet service provider kwa jina la WIA, Eric Mwenda yupo pale kama CEO na inasemekana amepewa shares. Ni kijana very sharp na aliye elimika vizuri nje (canada). Amejifunza aina hii ya biashara kupitia kwa rafiki yake wa karibu aitwaye rashid...
  8. RaiaMbishi

    Nimekubaliwa kuonana na rais Ikulu tarehe 5th March, 2014

    Je anayezungumza na mwenye "MBWA", Juma Nkamia ataudhuria?
  9. RaiaMbishi

    On bed kuna wanaume wa aina nne

    Wapo wa kundi namba moja ambao hugeuka kuwa kundi namba mbili, tatu na nne kutegemeana wapo na mwanamke wa aina gani. Kwa mfano, mke aliyekuchosha au wale wanaume waliozoea kupewa tigo lakini hawapewi, na pia wale wanaume ambao wana sehemu zao ambazo wakishikwa au yakitokea mautundu fulani...
  10. RaiaMbishi

    Mwigulu amlipua Mbowe bungeni, ni kuhusu kutumia vibaya madaraka yake na hawara

    Mwigulu hakuwa na haja ya kutema mate chini "PUUU" wakati anamjadili mbowe kwani hoja yake ilikuwa na mashiko ya kutosha. Kwa nchi za wenzetu, kitendo cha mwigulu kinge over shadow hoja yake, na pengine angekuwa suspended. Hulka hii ya mwigulu ndani ya chombo kama bunge ni ushahidi tosha kwamba...
  11. RaiaMbishi

    Ushauri: King'amuzi cha mrembo kimenitisha

    Google "big black clitoris", then select "image",utaviona vyote.
  12. RaiaMbishi

    Mwanzilishi wa CUF Mzee Mapalala ampigia debe Kigwangalla Urais!

    Kikwete ameshasema anatamani "kumrithisha" kijana urais. Na vijana wa Kikwete (pamoja na familia yake yani - ridhiwani jakaya, mama salama jakaya) ni pamoja na huyu Daktari, Nape Nnauye, Masele (naibu waziri wa nishati na madini), hussein mwingi, na membe (ingawa hawa ni kwa kete ya umri wa...
  13. RaiaMbishi

    Zitto Kabwe: Nitataja majina ya vigogo walioficha fedha nje kwenye kikao kijacho

    Mheshimiwa Zitto: Hongera kwa kazi nzuri.Utakuwa umeboronga sana iwapo utasahau kuleta pia orodha ya vigogo wenye mamlioni ya dollars hapa visiwa vya Mauritius. Hii ni safe haven kubwa ambayo imekuwa overlooked na wengi. As a matter of fact, mmoja ya Waziri aliyeondolewa kwenye baraza la...
  14. RaiaMbishi

    Elections 2015 Kuelekea 2015: Kama CCM Itamsimamisha Edward Lowassa...

    Pengine ulitaka nianze na neno "iwapo", haya basi jumuisha hilo; vinginevyo kaa ukisubiri press conference 2015, iwapo (again) yeye na sisi tutakuwa bado wazima;
  15. RaiaMbishi

    Elections 2015 Kuelekea 2015: Kama CCM Itamsimamisha Edward Lowassa...

    Tangia ya Kibanda yamkute yaliyomkuta, Pasco hana ujasiri tena kwani anahitaji macho yake kushuhudia uchaguzi wa 2015 na meno yake kutafuna ndafu kusheherekea ushindi wa CCM au Chadema kutegemeana ataegemea wapi;
  16. RaiaMbishi

    Elections 2015 Kuelekea 2015: Kama CCM Itamsimamisha Edward Lowassa...

    Wewe kaa tu usubiri press conference mapema mwaka 2015 akiwa mzima na sisi tukiwa wazima, kama njia yako ya kujihakikishia kwamba atagombea;
  17. RaiaMbishi

    Elections 2015 Kuelekea 2015: Kama CCM Itamsimamisha Edward Lowassa...

    Kwa upande mmoja, iwapo Lowassa atateuliwa kuwa mgombea, Chama kitameguka kupitia watu kama kina Sitta, Membe, Mwakyembe, Nape, Mwandosya, Salma Kikwete, Ridhiwani, Mengi na wafuasi wao mbalimbali ambao watahamishia nguvu zao kwa chama kingine cha upinzani. Kwa upande mwingine, iwapo Jina la...
  18. RaiaMbishi

    Hongera CCM

    Juliana anatafuta maisha, na ameona dau kubwa zaidi lipo ccm, hakuna lingine;
  19. RaiaMbishi

    Walimu Watakapoanzisha Kampeni Rasmi Madarasani Kuing'oa CCM

    nadhani hiyo ni hatari ya kupuuza walimu, vinginevyo hakuna cha hatari wanachofanya walimu; ni muhimu watoto wetu wakajua future yao itakuwa ni ya kubabaisha kwa sababu ya uozo wa ccm na serikali yake; bora walimu waliweke wazi hilo kuliko watoto kukua wakidhania tatizo ni walimu wao;
  20. RaiaMbishi

    Makamba amwandikia barua Pinda

    kote ni kulinda tu kura zake, vinginevyo January ni mnafiki na mpuuzi; Mbunge kwa mujibu wa katiba ni mwakilishi wa watanzania wote, sio wa jimbo lake tu, hivyo kama ameguswa na wananchi wake kupigwa na polisi, basi aguswe na kauli ya Pinda kwa umma wa watanzania;
Back
Top Bottom