Search results

  1. PakiJinja

    Komrade Makonda amekutwa na nini?

    Mwashambwa yeye hana baya wala hiyana, anajibubujikia tu michozi.
  2. PakiJinja

    Jeshi la Polisi lapekua nyumba ya Boniface Jacob, laenda na GJ Malisa Moshi kupekua nyumba yake

    So, hiyo ndiyo Police Force yenu inavyofanya kazi katika zama hizi? Kazi mnayo
  3. PakiJinja

    Boniface Jackob afika kituo cha Polisi cha Oysterbay ili akamatwe kama alivyoagiza RPC

    Unasema ana mwili wa kizembe lakini mwenzako anasimamia misingi, hayumbi anapigania haki za watu. Turidi kwako sasa, una mwili wa gym, umebinuka kiuno, huna unachosimamia zaidi ya kusifia kuwa Bashite na mama wanaupiga mwingi.
  4. PakiJinja

    Muungano: Simba atakuwa Bingwa kwa kucheza mechi 2 tu, hii nchi vituko haviishi

    Umeamua kushabikia ukiwa Burundi?
  5. PakiJinja

    Muungano: Simba atakuwa Bingwa kwa kucheza mechi 2 tu, hii nchi vituko haviishi

    TFF waliwaita Yanga na kuwaomba wasndike barua ya kuomba kutoshiriki😂, ili Kombe liende kwa Simba. Azam wenyewe wameagizwa kuchezesha kikosi cha kujaribu wachezaji wasiopata namba siku wakikutana na Simba😂
  6. PakiJinja

    Inakuwaje hadi watu 155 wanafariki Kwa mafuriko, wananchi hatupewi taarifa, hadi Waziri Mkuu atuhabarishe?

    Acha tu mkuu. Makonda ana team yake na ndiyo wanao control social media za bongo. Wanachofanya hivi sasa ni kama vile wana test mitambo tu. Nape ni kama wameshakzidi nguvu, ingawa bado ana play smart.
  7. PakiJinja

    Waziri Jelly Slaa ana kitu, atafika mbali, abarikiwe

    Matatizo mengi ya nchi hii ni ya kimfumo (kikatiba, kisheria, kiutawala na kisera), ili nchi iweze kusonga mbele dawa ni kurudi kwnye drawing board (Katiba isukwe upya). hizi ngonjera za kuinua watu mnatutangazia kuwa ni manabii na mitume wa zama hizi wakati ubovu upo kwenye mfumo.
  8. PakiJinja

    Inakuwaje hadi watu 155 wanafariki Kwa mafuriko, wananchi hatupewi taarifa, hadi Waziri Mkuu atuhabarishe?

    Yaani kwa akili zako zilivyo ‘ndogo’ unataka vyombo vya habari na social media viache ku report habari za Makonda eti zika report habari hizo!? Upo serious kweli au unatania tu?
  9. PakiJinja

    Maajabu: Simba dume wakipandana. Je, wanasayansi mko wapi?

    Maemae…ungese sana huu. Wanyama madume kwa madume wanabanjuana sana
  10. PakiJinja

    Maajabu: Simba dume wakipandana. Je, wanasayansi mko wapi?

    Hii Thread itasababisha Mashabiki wa Simba wamshinikize MO abadilishe jina la Timu
  11. PakiJinja

    Maajabu: Simba dume wakipandana. Je, wanasayansi mko wapi?

    Watu wanaukataa ukweli, kuukatas ukweli haisaidii bali inapotosha tu.
  12. PakiJinja

    Maajabu: Simba dume wakipandana. Je, wanasayansi mko wapi?

    Mkuu, binafsi nimewahi kushuhudia Simba Tarangire wakilana vinyeo, pia zipo documentaries nyingi tu wakinyorana
  13. PakiJinja

    Maajabu: Simba dume wakipandana. Je, wanasayansi mko wapi?

    Wanyama huwa wana Fyrana sana, Twiga (Nembo ya Taifa) wenyewe 90% ya madume yake hu Fyrana, halafu kuna Simba, wenyewe huwa wana tabia ya kupozana kisela pale wanapokuwa na nyege. Mara nyingi hupandana kwa zamu. Ndiyo maana masela wengi siku hizi wanajiita Simba…michezo ya gizani
  14. PakiJinja

    Mrisho Mpoto anapata tabu sana kutembea peku

    Hadi ‘Magambuti’ anavaa. Akiona umaarufu umeanza kupungua baada ya watu kumstukia, anaweza akaja na kiki ya kujifanya yeye ni kibendera🏳️‍🌈🏳️‍🌈
  15. PakiJinja

    Hayati Magufuli alichukizwa sana na waliotaka abadili katiba ajiongezee muda ndio maana Ally Kessy hakurudi Bungeni

    Hoja yako ambayo unaitumia kwamba alikuwa akiheshimu Katibu anafia hapo. Kama alitamka hadharani kuwafukuza wabunge watakao watangaza wapinzani walioshinda, akavuruga uchaguzi hadharani, na hakuwahi kuomba radhi, unawezaje kumuweka maneno mdomoni kwamba alimuita Ndugai akamkatalia kuhusu...
  16. PakiJinja

    Mbunge Musukuma ashauri V8 za Mawaziri zifungwe mitungi ya gesi ili kubana matumizi

    Ameshafikiwa, amewezeshwa, maana speech yake ya mwisho kuhusiana na hili la magari kufungwa mifumo ya gas aliliponda vibaya sana sasa amegeuka ?
  17. PakiJinja

    Freddy Michael a.k.a Funga Funga

    Lakini si anafunga? Ninyi mnachotaka afunge au awe kama fulani?
  18. PakiJinja

    Maji yameziba njia maeneo ya Kin'gori, hakuna kwenda Arusha wala Moshi

    maji yanatumia haki yake ya kikatiba
Back
Top Bottom