Search results

  1. M

    Malaysia airplane: Utabiri wa Prophet TB JOSHUA WATIMIA

    Tatizo ni ufahmu mdogo ulionao kuhusu Mungu! Anzisha lakwako nawewe uandae watu kama unaona inawezekana. Watu mkiona miujiza hamuamin ni Mungu mnaona ni shetan, so mnaona shetan ndiye anaweza sana. Pole sana maana inaonekana shetan ndio mungu wako.
  2. M

    Nimerekodiwa video ya ngono bila kujijua. Nifanyeje?

    Hyo ndo safi! Bora wakaziuze had huko arusha ili na washarika wajue unabiashara nyingine.
  3. M

    Najuta( mawazo yako ni muhimu)

    Halafu acha kuzoeana na wasichana wakat huwez kuzuia tamaa zako. Otherwise huo uzinzi utakugharimu cku moja.
  4. M

    Najuta( mawazo yako ni muhimu)

    Huu ni upuuzi mwanamke huna mahusiano naye kwake karibu unamwambia njoo ulale? Achen kupenda kuact maisha ya kizungu! Halafu mnajidai wapenda sifa eti muonekane wanaume sifa zitawauwa. Nawaonea huruma wazaz waliokusomesha! Huyo msichana sijui naye anafikir mwenye vrus utamwona kwa kumwangalia...
  5. M

    msaada plz!!!!!

    Namimi nahtaji maana nkolikizo. Plizi wenyehabari maana maisha haya hakuna muda wakukaa bure.
  6. M

    Msaada jaman;Mtumishi wa Wa Mungu Anamtaka Mchumba wangu!!

    Usiache kunpm maana naona ushauri mwingine unaweza kukupelekea kumkosea Mungu. Simtetei ila sio kaz yetu kuhukumu. Kumbuka daud alifanya makosa mengi Mfn. Kumchukua mke wa uria. Lakn Mungu bado aliendelea kuwa naye. So tunapaswa kumwombea na kuchukua hatua sahihi.
  7. M

    Mbowe: Wabunge wote wa CHADEMA kutokushiriki vikao vya bunge kuanzia kesho, wataelekea Arusha!

    Acha umbumbumbu wewe kwan mipaka ya TZ na Malawi iko ujerumani? Hzo safari Za Jk tangu alipoingia madarakan zmekusaidia nini?
  8. M

    Msaada jaman;Mtumishi wa Wa Mungu Anamtaka Mchumba wangu!!

    Kwan huyo mtmishi ameoa? Na kama hajaoa anataka kumchumbia huyo dada au anataka aanze kuzin nae?
  9. M

    Msaada jaman;Mtumishi wa Wa Mungu Anamtaka Mchumba wangu!!

    Usikasirike wala usimhukumu mtu. Kwani huyo mtumishi ni mwanadamu na anahsia kama wewe so amempenda huyo mchumba wako mpaka akahama rohoni na anashindwa kujizuia so analazmisha. Na hyo haimfanyi asiwe mtumishi wa Mungu. Mfano kumbuka daudi na sauli. Yamkin hlo ni jarbu lake tu. Kwa ushaur zaid...
  10. M

    Good news!!!!!!!!

    Hakuna kitu kisicho na madhara hatakama kimetengenezwa kienyeji. Tena hyo mi mchanganyko wa mimea tofaut
  11. M

    Mpiga picha wa Rais ni nani kati ya hawa?

    We USidanganyike Tb hakumwambia atakuwa rais ila alimwambia umesamehewa uovu wako.
  12. M

    Jamani hii ni kwa wanawake tu!. . . . . !Imetokea kweli na huyu hajaamua la kufanya!

    wajinga ndio waliwao. Huyo mganga alishindwa kukuambia siwez akaamua akupe mashart magumu. Lakn hakuna linalomshinda Mungu wasikate tamaa azid kukaa kwenye uwepo wa Mungu b'se hachelew wala hawah.
  13. M

    TZ to enter lucrative rare earth minerals trade

    Hapò umenena. Nauhakka we ni mpiganaji. Hakksha unachukua 4m ya ubunge 2015 kuptia cdm.
  14. M

    Wachezaji wa CCM vs Chadema Arumeru, soma role zao, utaipenda sana

    Umeona vyema, maana hata neno La Mungu linasema, kila mchawi atainua upanga juu ya mchawi mwenzie, hayo hayako mbali. Watamalzana wenyewe.
  15. M

    MATOKEO kutoka vituo mbalimbali, Arumeru Mashariki

    Chadema oyeeeeeee!
  16. M

    CHADEMA yaibwaga CCM Arumeru Mashariki; CCM Yakubali kushindwa (Zaidi ya kura 6,000)

    Amina kamanda. Watz sasa wasema yatosha kutawalwa na mafsadi. Kwa msaada wa Mungu tutawatoa.
  17. M

    CHADEMA yaibwaga CCM Arumeru Mashariki; CCM Yakubali kushindwa (Zaidi ya kura 6,000)

    Yes! Aluta kontinyua! Tukiunge mkono chama chetu, tuwaondoe majambaz wote wanaotufanya tuwe maskin wakat nchi yetu ni tajiri. Nguo zitawabana magamba wote.
  18. M

    kuna ukweli ndani ya hili penzi?

    Kaka akili za kuambiwa changanya na zakwako. yaan mnachati siku zote hata picha hamjatumiana? Shida nini? kwanini asikutumie picha? we unaonekana kijana mdogo, siajabu huyo dada ni shugamama anatafuta kijana wa kumlea! usipende vya dezo. huyo aliyeandika watu wangu wanaangamia kwa kukosa...
  19. M

    Nabii Babu Wa Loliondo Apata TUZO la Kimataifa

    Wajinga ndio waliwao, mi nlishuhudia kjana mmoja aliyekuwa anasumbuliwa na kisukar alitoka kunywa hyo mnayoita dawa akaacha dawa za hosp, baada ya siku chache alipelekwa hosp akiwa mahututi. Watu waliuza hadi mashamba ili wakapate kikombe, lakn hakuna kupona zaid ya kujiongezea umaskin.
  20. M

    Nabii Babu Wa Loliondo Apata TUZO la Kimataifa

    Wajinga ndio waliwao, mi nlishuhudia kjana mmoja aliyekuwa anasumbuliwa na kisukar alitoka kunywa hyo mnayoita dawa akaacha dawa za hosp, baada ya siku chache alipelekwa hosp akiwa mahututi. Watu waliuza hadi mashamba ili wakapate kikombe, lakn hakuna kupona zaid ya kujiongezea umaskin.
Back
Top Bottom