Search results

  1. 7seven

    Jifunze silaha kuu tano (5) za ulimwengu wa kiroho ili upate ushindi kwenye kila jambo

    Amen! Ubarikiwe sana kwa kufuatilia haya mafundisho na kufunguliwa kupitia haya mafundisho.Ni ushuhuda mzuri maana siku zote shuhuda huwa zinajenga na kuinua kiwango cha imani cha mtu mwingine anayesikiliza shuhuda ya mtu. "Kuhusu kuwa nyumbani kwako unawasha taa ili zitoe mwanga uweze kuona na...
  2. 7seven

    Jifunze silaha kuu tano (5) za ulimwengu wa kiroho ili upate ushindi kwenye kila jambo

    Ndoto ya kwanza uko kwa daladala na watu wengi halafu kuna tv inaonyesha video moja watu kama wanasali ila wamevaa vibaya,wanafanya dhihaka. Ila kuna wamama wakasema bora izimwe nayo ikazimwa. Gari ni maisha.Daladala ni gari pia.Uko na watu wengi katika maisha yako ambao safari yenu ni moja...
  3. 7seven

    Jifunze silaha kuu tano (5) za ulimwengu wa kiroho ili upate ushindi kwenye kila jambo

    Haya yako ya mwisho.Unatakiwa kuvunja madhabahu ya umasikini na ufukara ambao upo kwenye maisha yako. Vunja roho ya mpinga Kristo ya fedha katika maisha yako.Watu hawajajua kama hii roho ilishaanza kufanya kazi kitambo ili iwafanye watu wawe na maisha magumu kisha waende kumuinamia ili awapate...
  4. 7seven

  5. 7seven

    Jifunze silaha kuu tano (5) za ulimwengu wa kiroho ili upate ushindi kwenye kila jambo

    Ahsante.Kwa kweli ombi lako ni kubwa na umeomba kwa nadhiri uwe na uhakika kwamba Mungu atakujibu ikiwa hukuomba kwa matamanio ya moyo wako,ila umepata msukumo kutoka ndani ya nafsi yako. Mawazo mema na mabaya huanzia moyoni maana huko ndiko ziliko chemi chemi za uzima, zinaweza zikatoka mbaya...
  6. 7seven

    Jifunze silaha kuu tano (5) za ulimwengu wa kiroho ili upate ushindi kwenye kila jambo

    Amen.Ubarikiwe sana na Mungu azidi kukufungua kwa kila hatua unayopiga usonge mbele,uvishinde vikwazo vyote ulivyowekewa na shetani katika ile imani kuu ya Yesu Kristo aliye hai.
  7. 7seven

    Jifunze silaha kuu tano (5) za ulimwengu wa kiroho ili upate ushindi kwenye kila jambo

    Amen.Uzidi kubarikiwa na kupata mafundisho yatakayokutoa mahali hapo ulipo kwasababu umeshapiga hatua moja kubwa na ya muhimu katika vita yako ya kiroho. Kitu ambacho shetani huwa hapendi watoto wa Mungu wakijue ni kuujua ukweli,kujua matatizo waliyonayo siyo mpango wa Mungu. Shetani hapendi...
  8. 7seven

    Jifunze silaha kuu tano (5) za ulimwengu wa kiroho ili upate ushindi kwenye kila jambo

    Ahsante mkuu. Siyo wewe tu wapo wengi,hata wao walikuwa hawaniamini na walikuwa wanaona kama ninautukana Uislamu ndio maana mwanzo nilipata nao changamoto kiroho, ila sasa hivi wamekuwa shwari,hata kiroho sina mpambano nadhani wameona ukweli na Roho Mtakatifu ameshaanza kuwagusa, wengi...
  9. 7seven

    Jifunze silaha kuu tano (5) za ulimwengu wa kiroho ili upate ushindi kwenye kila jambo

    Katika ulimwengu wa Nuru hili jambo liko rahisi sana maana tumepewa damu ya Yesu kufuta kila aina ya maagano na maneno tuliyotamkiwa kwa kusikia au pasipo kusikia tumetamkiwa nini! Kama unayakumbuka hayo maneno uliyotamkiwa ambayo kwayo ni mabaya katika mtazamo wako basi huna budi kuyafuta kama...
  10. 7seven

    Jifunze silaha kuu tano (5) za ulimwengu wa kiroho ili upate ushindi kwenye kila jambo

    Ahsante sana mkuu. Hivyo vinyesi unavyoviota mara nyingi ni uchawi ambao umefanyiwa ili kukuchafulia baraka zako, kukuharibia mambo yako,kufunga baraka zako,kukuchafulia nyota yako. Chooni mtu anaenda kujisaidia na kinachotoka kwa mtu kuingia chooni ni uchafu (kinyesi).Kwahiyo kuota kinyesi...
  11. 7seven

    Jifunze silaha kuu tano (5) za ulimwengu wa kiroho ili upate ushindi kwenye kila jambo

    Ulimwengu wa nuru ni kwa watu wote ndg yangu.Hiyo mizimu kuwasaidia watu haitoi msaada pasipo masharti magumu na ukikengeuka adhabu yake ni kali,isitoshe mwisho wa uhai wako unaenda kuishi sehemu isiyo salama maisha yako yote. Mizimu haitoi suluhisho la kudumu bali ni la muda mfupi na baadaye...
  12. 7seven

    Jifunze silaha kuu tano (5) za ulimwengu wa kiroho ili upate ushindi kwenye kila jambo

    KUINUKA KWA ROHO YA MAUTI. Hii inasababishwa na mambo mengi sana ambayo kwa kujibu swali lako ni ngumu kuyaorodhesha yote hapa. Ila sababu kubwa zaidi ambazo hupelekea yote haya ni MADHABAHU,MAAGANO,MAMLAKA na UTAWALA wa huyo mtu aliyekusudiwa hiyo roho ya mauti. Ndoto zote zinazohusiana na...
  13. 7seven

    Jifunze silaha kuu tano (5) za ulimwengu wa kiroho ili upate ushindi kwenye kila jambo

    U Ushauri mzuri sana.Hili suala la kuchanganya miungu Lipo kwa watu wengi hasa jamii zetu za Afrika hususani Tanzania.Kumchanganya Mungu na miungu ni sawa na maji na mafuta ambavyo huwa havichangamani. Mungu anachukizwa na hali ya namna hii,ukishaanza kwenda huko kwa waganga na wachawi,basi...
  14. 7seven

    Jifunze silaha kuu tano (5) za ulimwengu wa kiroho ili upate ushindi kwenye kila jambo

    Kwa jinsi ambavyo nimeshaona mauzauza hilo jambo siyo is kawaida.Halafu siku hizi Naona maajabu ya nyoka kuingia ndani yameongezeka, kuna watu wengine pia wameona matukio kama haya. Hao nyoka wanaweza kuwa ni mizimu, majini wanaotumwa na wachawi ili kuja kuharibu maisha ya kiroho ya watu wa...
  15. 7seven

    Jifunze silaha kuu tano (5) za ulimwengu wa kiroho ili upate ushindi kwenye kila jambo

    Pole sana.Kwanza soma somo la Maagano, Madhabahu na Mamlaka vizuri, baada ya hapo utapata mwanga, kisha njoo tena tuzungumze; maana yote uliyoyazungumza yapo humo kwenye hayo masomo. Roho ya kukataliwa na kuchukiwa, ni hizo madhabahu na maagano ya huyo mtu wenu unayemhisi kuvuruga familia...
  16. 7seven

    Jifunze silaha kuu tano (5) za ulimwengu wa kiroho ili upate ushindi kwenye kila jambo

    Karibu sana,PM yangu iko wazi.Njoo tusemezane faragha.
  17. 7seven

    Jifunze silaha kuu tano (5) za ulimwengu wa kiroho ili upate ushindi kwenye kila jambo

    Amen. Karibu sana wakati wowote niwapo katika madhabahu hii tutajulishana mambo kadha wa kadha kuhusiana na ufalme wa mbinguni maana umekaribia kuhitimishwa kwa sehemu ya kwanza.Yesu karibu arudi hivyo lazima tuwe na maandalizi binafsi ili atakapokuja tupate wasaa wa kumjua na kumlaki mawinguni.
  18. 7seven

    Jifunze silaha kuu tano (5) za ulimwengu wa kiroho ili upate ushindi kwenye kila jambo

    Hkika Hakika kabisa.Kuna jambo analazimisha kulifanya wakati anaambiwa ajifunze kwanza lugha ya kuongea na Mungu (Kiswahili),darasa ni kujifunza. Darasa la hesabu, ni mipango yake mwenyewe, anamahesabu ya kufanya kitu ambacho siyo sahihi kwa wakati huu. Anatakiwa aombe maombi ya toba na...
Back
Top Bottom