Search results

  1. S

    Hivi profession ya Nape ni nini?!

    Hakika mim sina wasiwasi na elimu yako Kijana Nnauye kwa sababu wewe jamaa unauthubutu na ni jasiri sana kwan umekuwa na uwezo wa kunifanya nikuone unamawazo thabiti yenye nia njema kutumikia watanzania. Hata kama wengine hawaoni mchango wako kitaifa, mim binafsi sio mwana ccm lakin najivunia...
  2. S

    UHALISIA: Kilichomtokea Dr. Ulimboka mwanzo-mwisho...

    Wewe Majumba ni kichaa kabisa unadhan wewe madaktari wanadai maslahi yao tu kama mnavyodanganywa na watawala?
  3. S

    Wabunge wa ccm wajijutia.

    Ni kweli wabunge wengi wa ccm walidhan ni wimbi tu litapita ndio maana wachache walioona mbali walitia sahihi zao. Na sasa wachache hao wanajivunia uhuru wao kamili ndan ya ccm. Hata hivyo waliogopa ni uvivu wao tu wa kufikiri kwan hawajachaguliwa na ccm bali ni wananch wanaopaswa kuwaogopa...
Back
Top Bottom