Search results

  1. K

    Siri ya Mahakama ya Kadhi yafichuka

    Huna chochote ila chuki binafsi.Unajaribu kutaka kupotosha umma kwa kutumia mdomo wako.Tutajie hayo matatizo yaliyopo katika nchi zenye Mahakama ya Kadhi, usitafute umaarufu kwa kutumia dini,kuna siku utajuta!!!
  2. K

    Gwajima amtumia salamu CAG Prof Asad kufuatia ombi lake la kujengewa msikiti ofisini

    Wewe ni muislam pure kutoka wapi? Mbona hayo maneno yako yanapinga na hiyo dini unajinasibu nayo!!!! Wacha uongo hiyo sio sifa ya muungwana, sasa sijui kama wewe ndie????
  3. K

    ...kwa mwanzilishi na mwenyekiti huyu adc(aliance fro democratic change) ina safari ndefu kisiasa...

    Mh! Bahamadi na chamacho kipya.Kidumu ADC chamache Bahamadi.
  4. K

    Hamad Rashid Kulindwa na FFU kwao Wawi Pemba; hii inamaana gani kisiasa?

    Bahamadi usijifiche,hatwebu tochi kukujua!!!
  5. K

    Jibu la prof Sheriff kwa prof Tibaijuka

    Wazanzibar hawakitaki tena hichi kimuungano feki,lakini kwa nini watanganyika mnang'ang'ania,agh!!!!
  6. K

    Tanganyika kuizunguka Zanzibar

    Mbumbumbu Jazz Band
  7. K

    Tanganyika kuizunguka Zanzibar

    Zanzibar ipo,Tanganyika Nyerere ameiua,kwa nini? SIJUI!!!
  8. K

    Zanzibar iko mbioni kuzama baharini

    aha!! kumbe hiyo ndiyo chuki yenu kwa Wazanzibar,mimi nilikuwa najiuliza kwa nini watanganyika wanawachukia Wazanzibar kumbe UTUMWA,kama sababu ndio hiyo sisi mnatuonea bure,waliokuwa wakiwauza ni machifu wenu,na Zanzibar walikuwa wanapita tu hao watumwa.Someni historia itasaidia.
  9. K

    Zanzibar iko mbioni kuzama baharini

    wacha ujinga yale mafuriko ya Dar uliyaomba wewe?
  10. K

    Zanzibar iko mbioni kuzama baharini

    Kwa wewe isiokuhusu sisi wenyewe tunajua thamani yake,hata hivyo lakini kwa nini mnaing'ang'ani kwenye hichi kijimuungano chenu feki?
  11. K

    Zanzibar iko mbioni kuzama baharini

    hayo ya kuzama alishataka baba wenu wa Taifa,Mungu akamzamisha yeye saivi anaozea hozini.sasa subiri na siku yako wewe utazama sijui utaozea wapi,maana Mungu hafundishwi.
  12. K

    Hamad Rashid na wenzake mahakamani leo

    Inaonesha ww ni mchochezi na hufai katika jamii,wa kumtetea HR ni watu wa jimbo lake sio ww au umetumwa??Ww ndo umesema mapembe na karafuu,huko bara kuna karafuu na mapembe??unajibiwa unageuza kibao eti Muungano unajifanya Muungano unakuuma saaana huna lolote ww ni mamluki,mueneza chuki,wapemba...
  13. K

    CUF yachemka maandamano kumpinga Hamad jimboni Wawi

    Tanganyika ni koloni la nani?Maana sijaona kiti chake UN,wala hiyo pasipoti unayosema wala hiyo sarafu!!!usiwe mjinga mpaka kupita kiasi,unatuchosha kuandika utumbo nenda kwenye hoja burro!!
  14. K

    Mbowe in informal meeting with JK

    Wazanzibar walikutuma uongee hivi au maoni yako binafsi?? usiusemee umati,kwa HR Zanzibar ameshasahauliwa wanaongea mambo mengine,sasa ww endelea kasumba zako.
  15. K

    Wawi kuandamana kesho kupongeza maamuzi ya CUF

    Hivi ww burro unapenda udini sana,hivi huko Chadema wenyewe hakuna waislam?Lakini mimi najua nyinyi sio Chadema ni wadini munaotumia Chadema kufikia malengo yenu,na ww inawezekana hata kadi ya Chadema huna uko hapa JF unabwabwaja tu hujui unachokisema.Kama una agenda na waislam usikitumie...
  16. K

    Zanzibar is number one duniani as most corrupt inatia kichefuchefu...

    Wewe mwandishi huna lolote ila chuki yako tu kwa Zanzibar,au ndo hujawahi kutoka nje ya Tanganyika??Usiropokwe tu bila ya kufanya uchunguzi,hiyo dunia unayosema wewe ni ipi? dunia ya Tanganyika??USHINDWE NA ULEGEE na kasumba zako za kipuuzi!!
  17. K

    Ajabu: Balozi Seif Iddi apigiwa Saluti na Heshima zote na majeshi, Seif Shariff wampa Mkono

    us iwe mjinga!!! kosa la mtu 1,huna haki ya kutukana umati!!au ndio unaonesha unachuki na uislam mambo hayo wacha ujinga yameshapitwa na wakati!
Back
Top Bottom