Search results

  1. LING'WINA

    Wito wangu kwa Wanawake: Achaneni kabisa na usafiri wa bodaboda, sio salama kwenu

    Mwezi August binamu yangu katembea nayo israel na mwenzie kakatwa mguu, mbaya zaidi kila siku lazima nipite hiyo barabara na litukutuku langu kwenda na kurudi kazini...Mola aturehemu.
  2. LING'WINA

    Wilaya zenye baridi sana Tanzania

    Nimeaga wadau kwa kuwazuga kuna ishu naiwahi home chaap, baada ya kuona kijua cha matumaini chapotea na mwili wakosa ushirikiano
  3. LING'WINA

    Wilaya zenye baridi sana Tanzania

    Hii baridi ya hapa pahala imetibua homa zilikojificha, ikiendelea hivi wallah litakufa jitu
  4. LING'WINA

    Zantel ni muda wenu huu kujitanua

    Hawa jamaa yapata mwezi sasa wamebana kasi ya internet yao, hovyo sana
  5. LING'WINA

    Baada ya serikali kupunguza bei ya kuunganishiwa umeme kuwa Tsh 27,000 Mkoa wa Kilimanjaro ofisi ya Tanesco mkoa yakabiliwa na upungufu " Surveyor"

    Zaidi ya mwaka wamepanda nguzo zao hapa mtaani kisha wamekuja na swaga za transformer, wakati mita 200+ kuna wadau wanaingiziwa umeme kwa transformer hiyo hiyo wanayodai haitakidhi hadi kwetu, tumeaachia mradi wao hadi wakipata wazo waje, hawataki waendelee kubaki tu, hakuna wa kutoa hela...
  6. LING'WINA

    Je, tunaweza kuwa kama kunguru?

    Dah maskini....!! Kuna kunguru hapa alikuwa na kijidonda mguuni kajipendekeza kusimama kwenye nyaya ya umeme, kilichompata kamuacha mwenza wake mpweke, rest in peace kunguru, mwenzio yupo katika majonzi makubwa mnoo, atakukumbuka daima.
  7. LING'WINA

    Faida nilizozipatakwa kupanda migomba michache kuzunguka nyumba yangu

    Jitahidi kutia samadi/mboji, kwangu nilikuwa na shida hiyo ila kwa sasa naona tabasamu kwa mbali lanijia
  8. LING'WINA

    Kung'atwa na nyuki kwenye uume kunaukuza

    Unamaanisha nyuki wa mashineni?
  9. LING'WINA

    USHUHUDA: Nilivyokutana na ushirikina kazini

    Hao wachina unaowasema walipewa eneo wachimbe madini na wakataka wenyeji wahamishwe kibabe, wazee wakakaa kitako, hadi kesho mchina hakuona hayo madini na mitambo ameisusa hana mpango nayo, imebaki historia tu.
  10. LING'WINA

    Haunted houses zipo, chukua hatua

    Same applied kwangu, aliyeniuzia eneo alitaka nigeuzia kibao, baadae maneno yakatoka kwamba anasema haiwezekani watu wa kuja waje wafanye maendeleo kwenye mji wao, kwangu amelegeza sasa kilio kwa majirani na kila mmoja ananyoosha kidole kwake
  11. LING'WINA

    Haunted houses zipo, chukua hatua

    Nilivyohamia kwangu kila usiku wadogo ni kuweweseka baadae ikahamia kwangu mandoto ya kula vyakula na "mzigo" na kuendesha gari usiku, asubuhi nakuwa mchovu hatari, nikaona isiwe tabu... Nikafanya mambo, baada ya siku kadha nasikia stori za kiwaki mtaani, nikajua mbaya anajitangaza
  12. LING'WINA

    Kifo kipoje?

    Kujibu swali lako fanya jaribio la kufa na wana wa ufufuo na uzima wakurejeshe ili uje ujibu vizuri swali/ dukuduku lako/yako
  13. LING'WINA

    Nimehitimisha kwamba watu wasioamini uchawi upo hayajawakuta, na yakiwakuta huteseka bila kupona mpaka kifo

    Jamaa mara kibao tu anajikuta kalazwa chooni wahuni wanakula mzigo kwa mkewe, mume akiulizwa kwa nini anapiga mzigo usingizini anashangaa tu
  14. LING'WINA

    Hiki chakula kwa lugha ya kwenu wanaitaje?

    Tengo moja
  15. LING'WINA

    Tanzania na Vifurushi vipya vya Data na Sauti (Aprili 2021) - Mwitikio wa wananchi

    Zantel tumeanza nao jana, maumivu per day
  16. LING'WINA

    JamiiForums Usiku wa manane

    02:22
Back
Top Bottom