Hongera kwa makala nzuri.
Unaweza kupitia andiko langu pia ili kulipigia kura.
https://www.jamiiforums.com/threads/wenye-nchi-ni-wananchi-dosari-zilizo-katika-mifumo-ya-kidemokrasia-zinazoathiri-dhana-hii-na-utatuzi-wake.2019204/
Hongera sana Rafiki.
Andiko zuri sana, you have my vote.
Ikikupendeza, naomba kura kwenye andiko langu
https://www.jamiiforums.com/threads/wenye-nchi-ni-wananchi-dosari-zilizo-katika-mifumo-ya-kidemokrasia-zinazoathiri-dhana-hii-na-utatuzi-wake.2019204/
Tafadhali endelea kupiga kura, gusa...
Nawashukuru sana mliopiga kura. Mungu awabariki sana. Tuzidi kufanikisha hili andiko lipate ushawishi mkubwa katika shindano hili.
Utukufu una Mungu juu mbinguni
UTANGULIZI
Ninayasoma maneno ya utangulizi yaliyo katika Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977, maneno yaliyobainisha misingi ya katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Ninagundua kwamba hata Katiba hii ya sasa ya mwaka 1977 licha ya mapungufu yake, inaendelea kuwataja...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.