acha fitina na chuki hizo wewe msiba si siasa hapa duniani tunapita tu hata wewe utakufa iko siko kama si leo kesho wacha kuchochoa mambo yalokuwa hayana msingi katika jamii
oyaa kamanda hizo chuki zako binafsi tu magufuli ni mchapakazi hodari tukiondoa chuki za kisiasa magufuli namfagilia kinoma kwanza kila wizara akipelekwa ana fiti tofauti na mawaziri wengine tusimtie dosari jamani ni mtu makini sana na mchapakazi mzuri sana myonge mnyongeni lakini haki yake mpeni
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.