Familia nyingi zinapitia mikosi ya kila aina kutokana na hila za adui, ambaye lengo lake ni kuona kizazi chote kinaishi katika mateso makali.
Sent using Jamii Forums mobile app
Maneno rahisi mtaji wa hawa jamaa ndio uchawi, kwa sababu wana uwezo wa kuwahudumia watu wengi kwa wakati wanaohitaji hizo bidhaa. Sasa kama mtu huna mtaji wa kutosha unawezaje kusema huuzi wakati wateja huna mtaji wa kuleta bidhaa zinazotakiwa kwenye biashara yako.
UCHAWI NI MTAJI KAMA HUNA...
Maswali ni mengi kuliko majibu, Wanafugwa kwa namna gani mpaka wakue na kutaga mayai? Je kilo moja ya nzige ina dhamani gani katika soko? Wanahitajika kiasi gani Duniani?
Kahawa ni ulevi kama ulevi mwingine, maana wakati natumia kahawa napata hasira, uchungu, na wasi wasi kumbe kahawa ndio ilikua inasababisha hayo yote kwa Sababu ilikua inaenda kufanya damu inaenda kasi. Nilipoamua kupumzika bila kahawa naweza kucheka tena.
Sent using Jamii Forums mobile app
Pole mkuu, inaonekana huna imani ndiyo maana unatishika na uchawi ambao hauaminiki hata kidogo. Ukiwa unamtegemea Mungu hakuna uchawi utakaow3za kukuhangaisha humu duniani.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.