Kwa hili linaendelea kudhihirisha kuwa there is no true democrasy ndani ya chadema, haw wachache wanaendelea kukitumia chama kwa maskahi yao binafsi, kama zzk kakosea basi iwe proven na apewe nafasi ya kujitetea na endapo utetezi wake usipokuwa wa kweli basi ndipo awajibishwe.
Huwa najiuliza...
Mwacheni Lowassa msimsakame japo mimi naona mnazidi kumuongezea umaarufu, suala la yeye kugombea uprezdaa mbona ni kawaida tuu kwani hata wale wooote wanaopiga ndogondogo wanafahamika hadi babu na wenzake wanafarakana kw ajili hiyohiyo?
Lakini inasikitisha sana, mbona mm sijaona picha ya EDDO hapo? Au sioni vizuri, acheni kujenga hojavzilizopitwa na wakati, mnataka kutumia prpaganda kuchafua wengine, nyie subirini hiyo sunami muda ukifika, mtafurahi kushinda siku zote.
Hivi wadau wa JF katiba ya chadema inamruhusu mwanachama yeyote kukopa mafungu/ruzuku za chama??? Au inamruhusu katibu peke yake? NAOMBENI JIBU ILI NIRUDI KUSUDI NIANGUSHE LILOPO MOYONI HAPA JAMVINI.
Sijui JF ya sasa ni JF ya namna gani? Yaani tumekuwa kama bendi za taarab, ile dhana ya "great thinkers" imekwisha kwa sasa, huna hata hamu ya kuingia jf tena kwani sii kisima cha kupata mawazo mapya bali ni kisima cha matusi, kebei, kejeli na dharau. Mimi nafikiri Wakusoma angejibiwa na sii...
Wana Jf naombeni tusiwe na jasba wala matusi au kejeli, the home of great thinkers maana yake hasa ni nini? Hoja ya msingi ya nape ni kuwa-: As long as you are a leader, you should "walk the talk" you should "walk what you preach" huwezi kuhamasisha na kuendesha zoezi la kurudisha kadi za ccm...
Wana Jf naombeni tusiwe na jasba wala matusi au kejeli, the home of great thinkers maana yake hasa ni nini? Hoja ya msingi ya nape ni kuwa-: As long as you are a leader, you should "walk the talk" you should "walk what you preach" huwezi kuhamasisha na kuendesha zoezi la kurudisha kadi za ccm...
Mimi nisingependa kucoment chochote ila ninachokiamini kuna wabunge wa CDM wanaofanya vizuri majimboni na kuna ambao hawafanyi vzuri, halikadhalika kuna wabunge wa CCM wanaofanya vizuri majimboni na kuna wengine hawafanyi. Ila kuhusu Mnyika hapana! Huyu kijana namkubali sana japo kidogo suala la...
Wadau wa jf siku moja kabla ya mkutano mkuu Dodoma, mh Lowassa aliwaita wajumbe wote wa mkoa waArusha nyumbani kwake Dodoma ili kushiriki chakula cha jioni.
Baada ya hapo aliwaomba wajumbe wa mkoa wa Arusha woote kumpigia Jakaya kura za ndiyo. Hii ni kutokana na habari zilizozagaa kuwa lowassa...
Wala wewe siyo mwanaccm kabisa huo ni ujanja ujanja tuu wa kurubuni watu kama mlivyozoea. Waliokuwa wanahesabu kura ni wanafunzi wa chuo na wala sii wewe. Na kama ni hivyo kama unavyodai iweje usilalamike kwenye vyombo husika vya vyama? YOU ARE NOT A GREAT THINKER. Wewe ni mtupatupa thread tuu.
Wachawi ndio hawawa wanakutabiria afya na hata kifo ikiwezekana, ni bora mungu hajskupa uwezo huo kwani binadam wangekoma. majungu tuu wimbo ule ule kila kukicha blaa bluu pruu popoo titituiiuu tuu hakuna la maana.Ati lowassa amekstaliwa, wewe mkatae mwenyewe milele.
Wilbrod Slaa hafai haijalishi kama atachaguliwa au laa, kushindwa familia yake ni kigezo tosha cha kum-disqualify. Nyie fanyeni urais ni mchezo tuu wa kusema umpe tuu flani just for granted. Walimshobokea J Zuma leo wanajuta. TANZANIA YETU SII GARI LA KUJARIBIA MADREVA.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.