Search results

  1. J

    Alikiba aendele kuitesa Africa, baada ya kuwa Nominated tena kwenye BINGWA awards

    Tanzania yangu ni muhimu kuliko Muziki wa Alikiba....na suala lake la kumpigia debe Magufuli kwa maana ya kwamba CCM iendelee kutawala mimi siyo Team Kiba tena ntamchukulia kama msanii wa kawaida tu na sitotoa jasho langu na nguvu zangu kumpigia Kura popote pale kama ambavyo sifanyi hivyo kwa...
  2. J

    Dr. Slaa adai yupo nchini, Lipumba asema haridhiki na UKAWA kuwa na mgombea Urais aliyetoka CCM

    mpumbavu wa kwanza babako **** la mamako haya kashtaki na cybercrime yenu **** la mamako mara ya pili.
  3. J

    Dr. Slaa adai yupo nchini, Lipumba asema haridhiki na UKAWA kuwa na mgombea Urais aliyetoka CCM

    ww ndo unajichetua...lowassa alipojiunga na chadema na wakati anaulizwa maswali aliulizwa kuhusu Richmond alisema kwamba "MAMLAKA YA JUU" iliruhusu mkataba ule kuendelea sasa sijui unataka aseme nini labda au atumie kiungo gani kuzungumza ili uelewe ndugu yangu...angalia kipima joto saa hizi pia...
  4. J

    Alikiba umetuangusha watanzania

    kwakweli kwa heri Alikiba....kajipigie kura mwenyewe sasa...
  5. J

    ACT - Tanzania inapambana na vyama vyote Tanzania

    ACT waongo na wapuuzi....eti zitto anasema wameamua kumuweka "mwanamama" kisa mara nne nzima nchi imeongozwa na wanaume na imeishia kuingia kwenye ufisadi tu hahahaaa wanadhani tumesahau kwamba walimchukulia fomu hizo Kitila Mkumbo "mwanaume" baada ya kukataa ndo mkampa huyo mwanamama kwa bahati...
  6. J

    Hawa ndio wasanii mbalimbali waliojitokeza viwanja vya Jangwani kwenye kampeni za UKAWA… (picha)

    timbulo mzanzibar,aunt msukuma,wolper mchaga acha ujinga nyau we.
  7. J

    TANESCO wamekata Umeme sehemu kubwa ya Nchi ya Tanzania, leo 29th Aug 2015

    Morogoro mjini kihonda kwa chambo nyumba namba sq 134 nipo sebuleni hapa hamna umeme wamekata.
  8. J

    Poll: Diamond vs Alikiba

    ubishi ulishaisha tangu KTMA....
  9. J

    MTV waandaa collabo ya Ne-Yo na Diamond Platnumz, this is epic!

    Safi sana dogo..me mwenyewe nakukubali clever na mesen..
  10. J

    Ali Kiba na UKAWA

    kwanini hawakumtaka?...kwa hiyo ilikuwa bora shilole kuliko KIBA?.....acha hizo weweeeeeee nyau.
  11. J

    Tume Ya Taifa ya Uchaguzi yapinga zuio la kutumia viwanja vya Jangwani tarehe 29 Agosti, 2015

    na lubuva unamuita MJOMBA yaani kaka wa mama yako baba mmoja mama mmoja na wamezaliwa wawili tu lubuva na mama yako swali je LOWASA huyo mwanamke wake ni nani?...nijibu
  12. J

    CHADEMA, CCM wachuana matangazo ya Televisheni

    We unaambiwa mwenzako kashabook kwa sababu serikali mnayo eti na nyny mnajifanya mnataka,...mnadhani mtashinda kwa dhuluma zenu?,uwanja wa taifa mmegoma,jangwani mmezingua na kwenye TV mnazingua wabongo tunawacheki tu nahata wana CCM wasiopenda dhuluma hawafurahishwi na upuuzi huo....ila...
  13. J

    Mchungaji Msigwa ubunge wa Iringa mjini hapati Tena

    nyooooo...labda 2005 wakati kikwete anaingia hahahaaaa
  14. J

    Maswali matano (5) ya msingi uvamizi wa Ndg. Humphrey Polepole

    Wangeingia ingekuwa safi maana anajikuta Nyerere mdogo siku hizi hahahahaaaa
  15. J

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    tunza maneno kijana...
  16. J

    Elections 2015 Mzee Mkapa: Wanaosema Wanataka Kuikomboa Tanzania ni Wapumbavu na Malofa

    lofa wa kwanza atakuwa aliyemteua kuwa waziri mkuu
  17. J

    Kwa hili alilolifanya Diamond, litamgharimu sana katika safari yake ya kimuziki

    Watu wanabisha ila mtoa post upo right haya mambo bwana kwa watu kama wasanii ambao wana followers wa kila aina ni ya kuwa nayo makini sana...huwez jua pengine mashabiki zake wengi ni wapinzan je?...sema watu wanajifanya hawaon
Back
Top Bottom