mimi nadhani suala la wanafunzi kudisco au kusupp kwa wingi kama ndio kigezo cha elimu bora ktk vyuo vyetu ni udhalilishaji mkubwa na uchakachuaji wa elimu
na ukishakubali kuchakachua elimu basi tena tusitegemee lolote tena, ndio litazaliwa taifa la mbumbumbu na mafisadi, nothing more...
come on, how can you say that? mwanafunzi ni kilaza? literaly unachosema ni kwamba walimu wa IFM ni vilaza kwenye research
kama mwanafunzi, tena 90% hawajui research that means huyo mwalimu inabidi aligwe chini point blank
ndugu ugasa elimu haiko ngumu kihivyo kiasi cha aslimia karibu 90 washindwe masomo. Kwa kifupi haiwezekani. Kwa uhalisia wake itabidi hatua za kinidhamu pamoja na audit ya program nIma ifanyike.
that is wastage of time and money kwa watu.
kama wanafunzi hawawezi kufauli then the program is...
crappppppppppppppp......................! masaburi @ work
mwenye kujua thamani yako ni wewe mwenyewe ndugu, kama wewe umeridhika na unachokipata sawa endelea kufanya kazi kwa moyo mkunjufu. Kama wote tuko sawa na hakuna wa kustahili kupata kubwa kuliko mwenzako which by itself is a fair...
Katika kuhaha kwa serkali kujaribu kutafuta suluhu ya mgomo wa madaktari leo serikali imekwenda kuonana na madaktari wakiwa katika vikao vyao visivyo na kikomo (extended meetings) pale starlight hotel. Delegation ilikuwa na wajumbe wafuatao: Waziri wa Utumishi - Hawa Ghasia, Waziri wa Afya -...
Mungu amjalie kupona haraka na apate nguvu za kuendelea kuwatumikia watu wake na taifa letu kwa ujumla. pole sana ndugue yetu kuugua ni jambo la kawaida sana kwa mwanadamu
Ndugu much as I respect maoni na mtazamo wako lakini sidhani kama vi vema uka-generalize kana kwamba kila mtu anaona na kufikiri unachokifikiri. What I mean is epuka kuweka pleuralism kwenye statement zako. Wewe semea moyo wako na si ya wengine
Binafsi nampa big up gondwe, anajitahidi sana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.