Search results

  1. A

    Mawazo yangu juu ya elimu yetu

    Habari wakuu Mwanzo kwangu msingi wa maendeleo katika jamii ni migongano inayozaa kutokukubaliana au kukubaliana baina ya mtu na nafsi yake, Mtu na Mtu, jamiii kwa jamii au Taifa kwa Taifa migongano hiyo hutokana na huelewa wa mtu juu ya mambo mbalimbali huelewa huja kwa kutengenezwa na kukuzwa...
  2. A

    Watanzania bila fimbo hawaendi, wamezoea kupelekeshwa

    Duniani tumeombwa tofauti tofauti yaani watu kutoka Ulaya swala la uwajibikaji utu baina yao na nchi zao ni wa kuzaliwa na kuuishi kutoka wanakuwa katika familia zao. walivyo leo na nguvu yao ni matokeo ya uwajibikaji wao, unaposikia china au America ama nchi yoyote ulaya inasheherekea miaka 100...
  3. A

    Tanzania ina watu lakini haina rasilimali watu

    Habarini za jioni wapendwa.. Kwa mujibu wa sensa kama nchi tuna idadi ya watu million 60 ambayo ni idadi kubwa kweli ukilinganisha na majirani zetu , lakini kwangu mimi hawa ni watu waliolala kwa maana kimsingi kama Taifa halina uzalishaji unaoendana na idadi ya watu 60m, nikisema uzalishaji...
  4. A

    Personal hygiene and good manner: Watanzania akili shida hata usafi?

    Habrini wandugu, Mwanadamu amepewa utashi ili ajitofautishe na viumbe wengine inakuaje mwanadamu unaruhusu watu wakose amani kukaa na wewe karibu kwasababu ya harufu ya mwili au kinywa? Harufu ya kinywa Kupiga mswaki Mara mbili kwa siku ni kitu cha gharama kweli? Kupiga mswaki kwa kusugua...
Back
Top Bottom