Search results

  1. Jahman

    Kibano; Wakili Chadema Vs Shahidi Jamhuri mauaji ya Akwilina

    Kaka ukisoma katiba kwenye dispensation of justice Article 107A(2)(e) kwenye kutoa haki mahakamani kusiwe na technicalities zinazozuia haki kutolewa...
  2. Jahman

    Barua ya wazi kwa Prof Ibrahim Nguyulu Lipumba

    Yani Lipumba alivyoisaliti ukawa bora asingegeuka nyuma ... Alivyogeuka na kudai tena uenyekiti...duuh Haya umepewa kisheria kabisa...Ila aibu unayoipata na utakayoipata.... Nafikiri kuna watu wanakuuliza kwanini umerudi tena na ulishajiuzulu... Sent using Jamii Forums mobile app
  3. Jahman

    Kweli watu wamejitoa kumchangia Lissu

    6CE124NBWJP Imethibitishwa Tsh12,000.00 imetumwa kwa 255754616564 - FRANK MGHWAI Tarehe 14/3/19 saa 4:04 PM kwa ada ya Tsh310.00. Sent using Jamii Forums mobile app
  4. Jahman

    Lissu aanza kuchangiwa fedha na wananchi!

    Kwanza nishamchangia.... Halafu sina ndg mgonjwa wa kuchangiwa... Roho mbaya,kufa hamfi... Nshachanga Sasa... Sent using Jamii Forums mobile app
  5. Jahman

    Kisa cha kutafakarisha na kufikirisha juu ya Kikwete na Kagame

    Jamani nisaidieni.... Niko wapi hapa? Sent using Jamii Forums mobile app
  6. Jahman

    List of shame yaondolewa kwenye tovuti ya CHADEMA

    Anayo Dr slaa na yuko huko.... Embu mpigieni airudishe tui update Sent using Jamii Forums mobile app
  7. Jahman

    Bollen Ngeti: Hili nalo ni jaribio la kumuua Lissu?

    Mie siondoki mpaka matanga yavunjwe... Sent using Jamii Forums mobile app
  8. Jahman

    Rais Magufuli alikuwa na nafasi nzuri ya kujijengea heshima ya kudumu

    Yeye ndiyo anawashauri washauri... Sent using Jamii Forums mobile app
  9. Jahman

    Paul Makonda amfagilia Tido Mhando,asema haiwezekani Serikali ikawa inamuangalia tu akiifaidisha Azam TV, lazima Serikali imchukue

    Alianzisha mchakato majimboni,kipindi kichokuwa kinajumuisha wagombea wa vyama tofauti.. Wagombea wa CCM wakawa wameambiwa washiriki... Tido akaendelea na kipindi hata kama wagombea wa CCM hawapo... Tido akidhani TBC ni kama BBC...fair ground kumbe ni TBccm... Yaliyofuata ndiyo hayo...
  10. Jahman

    Majizzo Ndani ya Clouds360 on Clouds Tv February 20

    Naomba kuuliza wadau... Mpaka serikali inakulipia matibabu nje ya nchi 100% unatakiwa utimize vigezo gani? Ukiondoa vigezo vya kupitia muhimbili,wizara ya afya nk... Maana kuna wakati Marehemu Sitta naye alipigwa tafu akiwa hukohuko.. Sent using Jamii Forums mobile app
  11. Jahman

    Majizzo Ndani ya Clouds360 on Clouds Tv February 20

    Figo tunazo zote mbili lakini zina majanga...kama vile hatuna Ukitoa kamoja tena... Bora nimchangie chochote Sent using Jamii Forums mobile app
  12. Jahman

    Majizzo Ndani ya Clouds360 on Clouds Tv February 20

    Vp kuhusu NHIF yake..? Sent using Jamii Forums mobile app
  13. Jahman

    Leo Lissu anafanyiwa upasuaji wa mwisho kabla ya kurejea nyumbani, Tumuombee..

    Hahahahaaa... Sent using Jamii Forums mobile app
  14. Jahman

    Je, Magufuli anapewa sifa nyingi zaidi anavyostahili au hapewi sifa za anazostahili?

    Au ukiona Prof Kabundi ,Dr Mwakyembe wanakataa maandiko na maneno yao... Lazima ujiulize not only what went wrong...but also who made it went wrong... Troubleshooting inaonyesha tumepata root cause... Let's work to remove it... Sent using Jamii Forums mobile app
  15. Jahman

    Watanzania waishio Marekani wasema wako tayari na kwa moyo mkunjufu kuendelea kumchangia Lissu: wapeana account ya benki kuchangia

    Hicho kinaitwa kijiba... Hakuna anayetaka madaraka... Tunataka utawala wa sheria tu... And mostly new constitution... Upande huu hauna kujipendekeza Sent using Jamii Forums mobile app
  16. Jahman

    Watanzania waishio Marekani wasema wako tayari na kwa moyo mkunjufu kuendelea kumchangia Lissu: wapeana account ya benki kuchangia

    We fala ndiyo unajichoresha.. Tuliza mshono... Kwani unatoa wewe... Sent using Jamii Forums mobile app
  17. Jahman

    Ubalozi wa Tanzania nchini Ujerumani wamuwakia Lissu, kwenda DW kutoa ufafanuzi wao

    Siyo kwamba huyaelewi ndg yangu... Ni kuwa hayaeleweki Sent using Jamii Forums mobile app
  18. Jahman

    Jenerali Ulimwengu: It takes More Than a Gun to Kill a Man

    Nailed it Sent using Jamii Forums mobile app
  19. Jahman

    Madikteta wote duniani hufanana

    kama nimekuelewa unamaanisha Kitila ni mtetezi wa madikteta.....
Back
Top Bottom