kaka inawezekana ni kweli unayosema, mabinti wadogo wengi wanapenda kuiga wakubwa siku hizi. La msingi ni kumuelimeisha na sio kutake advantage ya ufinyu wake wa mawazo. Kumbuka siku moja utajifaharisha au kujuta kutokana na uamuzi wako juu ya issue hii.
katika maisha mapenzi sio kila kitu, baada ya muda fulani kupita kama mlilazimisha ndoa bila ya ridhaa ya mmoja kati ya wadau wakuu au bila ya kufata utaratibu unaokubalika mtajikuta mnasutana wenyewe na hiyo ndoa haitadumu
dah lakini wakubwa tusiwe wachoyo wa shukurani, ni kweli hakuna binadamu asiyekosa mapungufu ila na huyu wa sasa kuna mazuri ameyafanya hata kwa asilimia ndogo.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.