Mgomo: Hali ni mbaya
Watu Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dk. Hadji Mponda, akisema yeye na timu yake hawawezi kujiuzulu kwa sababu ya mgomo wa madaktari, Kamati ya Muda ya Jumuiya ya Madaktari wanaoendelea na mgomo huo, jijini Dar es Salaam, imesema hawako tayari kumfuata Waziri Mkuu...
Mimi naona tuachane na hili suala, miaka 50 imepita tumechelewa ni wakati muafaka kuangalia zaidi maendeleo ya kiuchumi! watu bado maskini sana, maliasili za taifa zinaibwa, siasa inapoteza pesa nyingi wananchi wanaumia na kupanda kwa vyakula, mafuta n.k.
Hili vazi halina tija yoyote, labda...
Mimi nafikiri hili suala limefika pazuri, ni wakati wa wananchi kudai katiba mpya, makongamano yafanywe kwa vijana na wamachinga wasiachwe nyuma ili kujadili kwa kina.inauma sana kuona wazee wanatuburuza.
As-salaam Aleikum,
Ya ayyuha allatheena amanoo kutiba AAalaykumu alssiyamu kama kutiba AAala allatheena min qablikum laAAallakum tattaqoona
O ye who believe! Fasting is prescribed to you as it was prescribed to those before you, that ye may (learn) self-restraint,- ( Al Baqarah 2:183)...
nashukuru kupata nafasi hii ya kuchangia uwepo/kutokuwepo kwa jumuiya hiyo.akumbuka hapo zamani nikiwa mdogo kulikuwa na jumuiya hii ambayo wazee wetu waliiunda ikawafaa lakini kuna wajanja wakafanya kaujanjaujanja wa kipuuzi tu wakauvunja,leo hii wapo!mimi nafikiri tuwaite!hatuwasuti la hasha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.