Search results

  1. K

    Serikali yatoa Tsh. Bilioni 66 Kurekebisha Miundombinu iliyoharibiwa na mvua

    Raisi hatoe pesa ana idhinisha pesa.
  2. K

    Mungu alimuandaa Rais Samia kuwa Rais ndiyo maana amewahi kusema hadharani kuwa yeye hana mpango wa kwenda kugombea Urais wa Zanzibar 2020

    Inabidi tumuombe Mungu maana sheria zinazopita na majina mazuri kama " Tume huru" wakati sio huru. Rushwa imezidi sana. Mungu amuombe Mama atupe haki au amwite kama mtangulia wake mpendwa wetu aliyemtangulia tupate viongozi ambao kweli wana nia ya kubadilisha nchi
  3. K

    Mungu alimuandaa Rais Samia kuwa Rais ndiyo maana amewahi kusema hadharani kuwa yeye hana mpango wa kwenda kugombea Urais wa Zanzibar 2020

    Naomba umwambie Mungu wako hatutaki wizi wa kura na tuna omba tume huru. Lakini mwambie tunaomba katiba mpya na awaite wote watakao kataa hayo matakwa ya wananchi
  4. K

    Luhaga Mpina: Kuundwe Tume ya kuchunguza 'Utata' wa kifo cha Hayati Magufuli

    Tatizo wa Watanzania wakisoma kidogo wanaona wengine wote ni wajinga. Kifo cha magufuli ukweli unajulikana Mpina anatafuta mwamko tu wakisiasa hamna jipya hapa zaidi ya kutafuta kiki na uchawa. Ukweli usiopingika ni kwamba (1) Magufuli alipata Covid (2) Magufuli alikuwa na pacemaker (3)...
  5. K

    Luhaga Mpina: Kuundwe Tume ya kuchunguza 'Utata' wa kifo cha Hayati Magufuli

    Ukweli ni huu na hautabadilika. Magufuli alipata Covid na alikuwa na matatizo ya moyo ambayo yalifanya awekewe pacemaker. Covid ile ilisababisha mashine ya pacemaker kutokufanya kazi vizuri. Mpendwa wetu hakutaka kupata chanjo na alijiweka karibu na wadhirika wa Covid akiwa pamoja na katibu...
  6. K

    Hayati Magufuli alikuwa sahihi kwenye kupinga demokrasia hii tunayohubiri kwa ushahidi kinachotokea sasa kwenye siasa zetu

    Kuna wanao amini kabisa kwamba Mungu ndiye ataleta demokrasia Tanzania. Wasio Taka demokrasia Mungu atawaita na kuongea nao. Baada ya uchaguzi kwa wale wote wanaopinga demokrasia na kunyanyasa na kuiba kura mtaitwa kwenda kubishana na Mungu. Hatuna muda hapa wa kubishana kuhusu wizi wa kura na...
  7. K

    Ushauri kazi za ukurugenzi kwa ngazi zote ziwe za kuomba nsio kuteuliwa

    https://youtu.be/hfwsWkyczrY?si=FewlnVnwcNT-S9PR
  8. K

    Mkuu wa Mkoa Arusha Paul Makonda: Kiongozi Mzima Kujieleza Hujui, Mnapataje Hizi Nafasi TARURA?

    Hivi vituko vya kuiliza maswali mtu kwenye kioo kila siku ni ujinga. Huyo mtu ni wewe🤔 Nani kawapa kazi. Tulisema mfumo mbaya kuna watu hapa wanasema katiba haina tija
  9. K

    Ushauri kazi za ukurugenzi kwa ngazi zote ziwe za kuomba nsio kuteuliwa

    Tatizo tumekuwa na kazi ambazo zinahitaji uwezo wa kusimamia miradi na budget mbali mbali za maendeleo. Lakini tunaweka makada ambao wengi wamezoea kupiga domo kucha kutwa bila kufahamu chochote kuhusu uongozi. Hii imesababisha nchi zima na kila idara kuwa ya machawa na watu wasio jielewa...
  10. K

    Tanzania kuanza kutumia Hadhi Maalumu badala ya Uraia Pacha

    Diaspora tumechoka maneno maneno kwa miaka sasa hivi karibuni ni lini hasa??? Tatizo ni maneno tu wakati wenzetu wa nchi za jirani wamesonga mbele sisi tunaangaliana kama wachumba kila siku
  11. K

    Rais Samia atunukiwa Udaktari wa Heshima kutoka Chuo Kikuu cha Ankara, Uturuki, leo Aprili 18, 2024

    Mama bado sana hata tume huru imemshinda bado katiba. Wangempa PHD ya utalii ndiyo amefanya vizuri mpaka sasa.
  12. K

    Huu ugonjwa gani? Nagusa kama kipele kigumu - kinachoteleza na kinachouma ndani ya uke

    Ukitoa jibu hapa la kiafya kwa hili swala ni kwamba hujui unacho kiongea. Mambo ya Afya sio ya kiki au uchawa wenu ni serious. Kumwambia aende hospitali kwa swala hili ndiyo ushauri vinginevyo ni utoto na ujinga jinga kama wenu. Inabidi tufungue chemba hapa ya watoto, machawa, na watu wa kiki...
  13. K

    Huu ugonjwa gani? Nagusa kama kipele kigumu - kinachoteleza na kinachouma ndani ya uke

    Swala la uvimbe anatakiwa kwenda hospitali sio mitandao. Hata sio mawazo ya chakula bali mtu kavimba wazo la msingi hapa ni kwenda hospitali
  14. K

    Maombi ya kuahirishiwa ziara ya Rais Samia inayotazamiwa kuanza nchini Uturuki

    Mwacheni akatafute pesa badala ya kushinda kujibizana na wakina Makonda na Mange
  15. K

    Kardinali Pengo atua ofisini kwa Paul Makonda kumfanyia maombi maalumu ya baraka na kumpongeza kwa uteuzi

    Sio Kadinali tena ni mstaafu. Usimpe Cheo ambacho hana. Kaninali Chawa tunashukuru hayupo tena
  16. K

    Hayati Magufuli alikuwa sahihi kwenye kupinga demokrasia hii tunayohubiri kwa ushahidi kinachotokea sasa kwenye siasa zetu

    Nani wa upinzani kamtukana Mama? Maana Makonda juzi kasema mawaziri ndiyo wamemtukana Mama na Lema kasema hivyohivyo. Sasa ni wakina Nani hao ambao unasema ni upinzani wanatukana? Au CCM wakitukana wanaitwa upinzani?? Au Yule Dada wa Kipare Kimambi sasa ndiyo upinzani!?. Yaani badala ya kutatua...
  17. K

    Wanaharakati wa haki za binadamu na ukimya wa matusi dhidi ya viongozi

    Mnakuza mambo wenyewe ni watu wangapi wanatukana watu? Kwenye mtandao upi maana hapa naona watu wanajadili hoja tu. Sasa kama mnaenda kwenye mitandao ya umbeya inayo ongelea wasanii na kufikiri hamtatukanwa mnakosea. Hiyo mitandao ni ya kuuzwa. Hata Raisi wa Marekani natukanwa kila siku lakini...
  18. K

    Watanzania wanahitaji siasa za Watu kama Makonda, CCM inajua hilo

    Ungesema Watanzania wengi. Kuna Watanzania wengine tunajali nchi kuendelea hizi kiki, uchawa na drama hazitusaidii chochote badala yake hii system ya Tanzania inanufaisha wachache sana. Tatizo Watanzania wengi kama mfano wako mnajiona ni wanyonge nyonge tu
  19. K

    Mchengerwa akabidhi Tsh. 50,000,000 kutoka mshahara wake kusaidia Wanarufiji waliokumbwa na mafuriko

    Pesa zake mwenyewe hujui kwamba huyu ni mkwe!!! tuacheni vichekesho bana
Back
Top Bottom