Search results

  1. J

    Wazanzibar katiba mmepitisha mkiwa na akili timamu, hatutaki kusikia malalamiko yenu tena

    Hakika wazanzibar mtakuwa katika hali ngumu sana kwa hilo mlilolikubali, hao wawakilishi wenu wanaweza kuwaingiza katika hali mbaya endapo tu hayo waliyoyakubali yatakuwa sio msaada wa matatizo yenu. Ombeni mungu awasaidie......
  2. J

    Juma Kaseja Atemwa Simba?

    Kusema eti kiwango kimeshuka ni uongo na matusi kwa kocha mkuu wa staz kwa kumkubali kama kipa namba 1 wa tanzania, ukisema kushindwa kwa kumlipa pia ni uongo, mi nafikiri ni kumchoka au chuki ya kiongozi 1 wa SSC.
  3. J

    Bomu la Arusha: Gari la Polisi PT 1179 lilitumika

    Mmmh!!!, hapo chacha. kazi kwenu police kujibu mapigo hayo, hivi ni kweli police wetu washafikia hatua hiyo!!, ulinzi upo wapi kwa raia sisi?, kama ni hivi inabidi tuanzishe ulinzi wetu wa kulindana wenyewe raia.
  4. J

    Kikao cha siri cha Kaguta, Kagame na Kenyatta (tripple K) chaamua mambo mazito...

    Hii inamaana Tanzania na Burundi zinaenda kutolewa ktk East Africa Community, ina maana gani wakutane marais 3 tu, na agenda za maendeleo wafanye wao tu?, tunaelekea wapi jamani.
  5. J

    Pinda abanwa - wanaharakati kukusanya sahihi 10,000,000 kumshinikiza Pinda

    Nahisi mh. Pinda huwa anakosa ufikilio wa haraka kiasi kwamba anatoa kauli za utata utata tu au tutakuwa tumeshindwa kumuelewa anacho kimaanisha, sidhani kama atakuwa anamaanisha tupigwe virungu au risasi. vema angepewa nafasi ya yy kueleza alichokimaanisha kabla ya huo waraka kusainiwa.
  6. J

    Diamond na Wema, Full drama!

    Jamani shule muhimu, japo kuhudhulia miaka minne inatosha. mm simlaumu sana Diamond kwani tatizo lake Diamond ni hana Elimu, angekuwa na Elimu ningemlaumu.
  7. J

    Nini hatma ya hamad rashid katika siasa?

    Kwa kweli nimepokea kwa masikitiko sana kwa uamuzi wa CUF mliochukua kuhusu Hamad,sidhani kama ni uamuzi wa busara uliofanyika. HAMAD ni kiongozi shupavu na ndiyo hata sisi wananchi tulijua ipo siku atakuwa katika madaraka makubwa ya uongozi ndani ya CUF,sasa kwa hili nadhani viongozi wa CUF ni...
Back
Top Bottom