Wewe kama mwananchi wa kawaida bila kujali ni mtoto wa nani, kimsingi kwa mtu makini na ambaye ni mtaifa na si mdini ni LAZIMA atakubaliana na wewe 100%.
Sikutegemea kama wewe ungeweza kutoa mchango mzito na muhimu kama huu.
Wengi wamejawa udini na ni wavivu wakufikiri mambo wa wakati ujao so...
Bado ni mvulana akishakua mwanaume yote yataisha,onyesha furaha kwake then tafuta week end moja nzuri unongone nae kwa upole na mahaba akwambie nini tatizo ili lirekebishwe, vinginevyo jifunze kumzoea ili uepuke gharama.:A S-heart-2:
Kwanza nakupa hongera kijana, pili naamini sasa kwamba muda mwingi utakua umewekeza katika masomo ambalo pia ni jambo jema, jitunze hakuna madhara, pambana na maisha mpaka utakapo pata wa maisha :nono:
MziziMkavu
nimekupata vema,
tafadhali mkuu kama una
takwimu za kuonyesha wazanzibar wote hawataki muungano naomba uzitupie hapa., ntashukuru sana mkuu!
sikubaliani na wewe nadhani umekariri, lazima ujue kila siku ipitayo kuna watu wanabadilika kifikra, kwani nani alitarajia kuona mabadiliko makubwa namna ile pale Mtwara na Lindi, hivyo ni vema ujue Dodoma kila siku inabadilika usitazame historia!
Kumbuka hakuna apendaye shida Dodoma nao...
Nakuunga mkono 100% ,wewe kweli ni great thinker!
Naamini watalifanyia kazi kwakua viongozi wa chadema ni wasikivu haswa kwa mambo yanayojenga na yenyemanufaa kwa Watanzania.
Watu wadodoma wana kiu mno na M4C.
Imensikitisha sana! Nao ucc wamesinzia wapi inamana huwa hawatembelei website yao mbona ukiingia pale ofisini kwao{udsm} hua wako bize sana na coputer zao, kama ni ivo mi nadhani wao wenyewe ndio wahusika wakuu, nadhani kuna mfanyakazi mmoja wao si mwaminifu na atakua na malengo yake.
Ni vema...
Haiwezekani hizo zikawa ni takwimu za Tanzania, we unalako jambo tu, ushindwe!
SWALI: Je, kalibu kila bango la mganga wa kienyeji laonyesha "Tunatibu matatizo ya nguvu za kiume" hilo nalo laonyesha dalili gani kwa wanaume?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.