Search results

  1. P

    UNAFIKI wa wabunge/mawaziri wa Zanzibar

    Alikuwa akiwakilisha nafsi yake sio serikali.Nawapongeza wazanzibar kwa kuwa na msimamo katika mambo yao,wamesimamia nchi yao kutambulika baada ya mzozo ulioanzishwa na mkulima bungeni kwamba zanzibar sio nchi,saa hz nani atabisha kwamba znz ni nchi au la.Wameendelea kuwa na wimbo wao...
  2. P

    WANASIASA - Kwa Mtindo huu wa Maji kutuwama kila sehemu: MALARIA INAKUBALIKA

    Ni kweli kabisa,pia tanzania bila ukimwi haiwezekani
  3. P

    Urais Zanzibar: Je, ni Lini zamu ya watanganyika kutwaa urais?

    kama wewe ni mwanamme kamuulize baba yako lini itakuwa zamu yako kulala kitanda kimoja na mama yako.Kama wewe ni mwanamke kamuulize mama yako line itakuwa zamu yako kulala kitanda kimoja ya baba yako
  4. P

    MAFURIKO: Hali ya usafiri Dar yawa tete, makazi yasombwa!

    Suala hili ni la watanzania wote tusitafte mchawi,tutafteni suluhu.Meya na wabunge siyo kwamba wanafurahia hii hali.Hata ofsini wanaweza kuorganize mambo mbalimbali kutatua hili tatizo
  5. P

    Mafuriko Dar: Vi wapi vikosi vya jeshi wanamaji vilivyoonyeshwa kwenye Miaka 50 ya uhuru?

    Mafuriko sio tukio la kuvunja amani,hii ni dharula ambayo hakuna aliyeipanga.Kama watu wakileta uvunjifu wa amani polisi wa kudhibiti hata ikilazmu kutumia jeshi la wananchi
  6. P

    Mkuu wa mkoa wa Dar vipi?

    Wekeni wakuu wenu kama hamridhiki na alichoongea.Yeye ndo kasema ukweli mlikuwa mnataka aseme uongo kumridhisha nani?
  7. P

    Jipe moyo Kafulila; Hongera NCCR-Mageuzi, Godbless Lema

    Nakubaliana kwa kipengele kimoja kwamba vyama vya upinzani vinataka kurejesha nidham na uwajibikaji vilivyopotea ndani ya chama tawala.Kujivua gamba kuliyeyuka maana gamba gumu halikuguswa yaani mkulu.Wakamsingizia kiongozi shupavu lowasa eti ni gamba.Ilikula kwao pale EL alipofunguka kwamba...
  8. P

    Vision na Mission za Tanzania ni zipi?

    Tembelea web za kila wizara utaona mision na vision zake na kwa ujumla wake ndo vision ya nchi
  9. P

    MAFURIKO: Hali ya usafiri Dar yawa tete, makazi yasombwa!

    Ndg yangu tuwe wakweli,idara ya hali ya hewa imeshataadhalisha kuhusu hali ya mvua kubwa na watu wahame mabondeni lakn watu hawasikii
  10. P

    MAFURIKO: Hali ya usafiri Dar yawa tete, makazi yasombwa!

    Sio utaratibu wetu wachache sana wanaoweza kuwajibika kwa wananchi,edward lowasa pekee aliyewajibika kwa wananchi na serikali ya ccm kwa sababu ya makosa ya wengine
  11. P

    Waislamu waapa kuendelea na maandamano kesho kutwa licha ya mafuriko

    Ni haki yao kuandamana na polisi ni haki yao kuwapiga virugu,mabomu ya machozi na risasi za moto kama watalazimisha maandamano
  12. P

    Picha:shuruba ya mvua ziara ya CUF (Mtatiro) inayoendelea mkoa wa pwani bado ngangari

    La kuvunda halina ubani,chama chao kimeshaingia chaka hawawezi kurudisha hadhi yao kirahsi kama anavyofanya mtatiro
  13. P

    Mbunge CCM akerwa na Kikwete kuwapa ulaji rafiki zake

    Katka watu wa ccm ambao wapowapo tu ni huyu jamaa kigwangala,ukifuatilia nyendo zake utaona ni mnafiki wa kutupwa na anajichanganya.Anasahau hata yeye aliwekwa kuwa mgombea ubunge kwa sababu hiyohiyo ya kujuana na jk
  14. P

    Angalizo kwa CHADEMA juu ya Jimbo la Kigoma Kusini!

    Mtaendelea kusingizia oh mbatia ccm B,uchaguzi utakapo itishwa wapinzani chali,jimbo linarudi nyumbani kwa chama kinachojua kushinda na umhimu wa kushinda.Wapinzani ndo wanajizika hivyo hvyo.Wapi shibuda wa kurusha mawe akiwa kwenye nyumba ya vioo,siku akitimulia cdm utasikia oh nina mke na...
  15. P

    Kafulila kupiga magoti kuomba asamehe kwa Mbatia inatufundisha nini?

    Alikuwa anarusha mawe akiwa kwenye nyumba ya vioo,sasa amegeukiwa yeye anaunyaunya tu! Oh si unajua sisi binadam bwana tunafanya makosa blablabla.Chukua maamuzi magumu kama EL kuuachia uwaziri mkuu na kutokuangalia nyuma.Huu ndo uanaume si kulikoroga na kushindwa kulinywa kama alivyofanya dav...
  16. P

    Rais Kikwete akubaliana na kauli ya Lowassa kuhusu tatizo la ajira kwa vijana!

    Tumpe ushirikiano rais mtalajiwa,ndg Edward n lowasa
  17. P

    Rais Kagame wa Rwanda Kusaini Mikataba ya Utendaji na Mawaziri Wake Wote

    Wao wamejari sisi tumethubutu,tumeza na sasa tunasonga mbele
  18. P

    Hakuna mgogoro CUF -Seif

    ccm ndo mwasisi wa mapinduzi tanzania
  19. P

    Urais wa Muungano 2015 ni zamu ya Zanzibar - Maalim Seif

    Akimaliza muda wake rais mtarajiwa 2015 edward lowasa ndo suala la maalim liangaliwe kama linafaa
  20. P

    Absalom Kibanda akamatwa!

    Kibanda anapenda kuandika vibaya kuhusu El aangalie!!
Back
Top Bottom