Haki yako ipo pale pale. Na hakuna utaratibu wa kuunganisha michango katika mfuko binafsi yaani nssf na wa serikali yanii psssf. Hivyo basi utadai pesa zako mifuko yote miwili unaanza mwanza nssf ukishalipwa ndo unakwenda psssf.
Sent from my SM-G935U using JamiiForums mobile app
Toka lini wajita wakawa na pisi kali.??? Utafiti wako umeufanyia wapi maana hata sisi wajita wenyewe hatuko proud na wanawake wetu.
Sent from my SM-G935U using JamiiForums mobile app
Lakini pia huyo form four si bado mtoto wa shule au toka awamu ya sita imeanza sheria ya miaka 30 imefutwa???
Sent from my SM-G935U using JamiiForums mobile app
Yaani hujawahi kusex nae kwa kipindi cha miaka miwili??? Mwana una moyo tunaomba tukujengee sanamu pale posta .
Sent from my SM-G935U using JamiiForums mobile app
Waliokaguliwa hawana majibu through exit meetings zilizofanyika. Bunge kazi yake ni kupitia na kutoa measures
Sent from my SM-G935U using JamiiForums mobile app
Kimsingi huo ni wizi wa wazi kabisa...cha msingi hapo ni utekelezaji wa mapendekezo yake ikiwemo kuwachukulia hatua wahusika.
Sent from my SM-G935U using JamiiForums mobile app
Mpaka CAG anatoa report kwenda kwenye mihimili ujue hoja zimekosa majibu huko zilikokaguliwa. Baada ya ukaguzi huwa kuna exit meeting ambapo mkaguliwa lazma atoe majibu ya queries zote zilizoibuliwa na mkaguzi.
Nadhani wewe mleta uzi ndo hujaelewa vema..punguza jazba.
Sent from my SM-G935U...
Tumekubaliana kila mtu ale kutokana na urefu wa kamba yake...ila tutosheke!!! Hiii ndiyo donor country bwana..
Sent from my SM-G935U using JamiiForums mobile app
Kinachofanyika kama una nyumba yako unajisajili kwenye airbnb website yao then wao wataitangaza na kukuunganisha na wateja. Payments zinafanyika wao wanapata commission tu. Pia nimeona hapa dar watu wengi wanaofanya biashara hii wanapanga apartments au nyumba za kawaida, wanaziwekea furnitures...
Pia unapata huduma zote za msingi...kimsingi ni biashara nzuri kwa sababu wageni wa kutoka mataifa mbalimbali wanaweza kufanya booking ya accommodation kwa muda watakaouhitaji bila dalali.
Sent from my SM-G935U using JamiiForums mobile app
Mkuu umenifurahisha sana kwa mkeo kuongeza maombi...hawa viumbe lazma uwe na akili ya ziada kuwamudu.
Mwanamke anatakiwa aambiwe kile anachotaka kukisikia kutoka kwa mwanaume ili mahusiano yaendelee vema na ndio maana wanaume tumepewa koo. Si kila kitu lazma mwanamke wako ajue uhalisia wake...
Mkuu hawa viumbe unawaelewa vizuri?? Akili zao siyo kama wanavyoonekana. Mwanamke unamtengeza wewe mwanaume. Akili yake imeumbwa kufata kile anachoambiwa na mwanaume.
Sent from my SM-G935U using JamiiForums mobile app
Haitaji kujua ukweli kua umechepuka...tafuta askari akutie kabatini kwa muda then ampigie simu mkeo aje akutoe kwa dhamana...kesi ndogo tu hiyo. Ukimnyosheea maelezo umekwisha.
Sent from my SM-G935U using JamiiForums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.