Search results

  1. F

    Mwanamziki wa Bendi ya FM Academia auawa China baada ya kukamatwa na madawa ya kulevya.

    Hakuna cha kuuwawa wala nini hiyo ngoma lazima itakuwa imepasukia tumboni tu, kama yule aliefia kwenye bus.Ngoma ikipasukia tumboni hata upelekwe wapi lazima udanje tu na wanalijua hilo lakini wapi.so mtu alie park mzigo hakuwa makini.
  2. F

    Msaada wa kujua uhalali wa telefree na ukweli wake

    Kuna watu wana hamasisha watu wajiunge kwenye huu mtandao wa TeleFree (DSM,MWZ & ARUSHA HII KITU IPO ) binafsi bado sijaujua vizuri. Ili kujiunga unatakiwa utoa USD 400.00 au USD 1,600.00 na zaidi.Hizo pesa unampatia muwakilishi wa hiyo kampuni ili azitume kwa wahusika then ana...
  3. F

    Usalama wa Taifa feki akamatwa akimsogelea JK

    Yahaya unaishi wapi. Yahaya weeee.Oyayaa oyayaa
  4. F

    Mamilioni ya vijana nchini wanaishi na VVU - Wasichana wanaongoza kwa maambukizi

    Nini mitandao ya kijamii.Mitaani zimejaa BAR NA Nyumba za kulala wageni, magazeti ya udaku kila kukicha yana promot uasherati.Ndo kila kukicha zinavunjika na kuacha mama analea peke yake.So tusishangae hayo maambukizi kwa vijana.
  5. F

    Pinda afuta amri ya Waziri Magufuli

    .MAGUFULI Ajiuzulu kwa kututengenezea barabara zisizo kuwa na viwango.Magari hayo hayo huku TZ yanalaumiwa kuharibu barabara mbona hayazuiliwi huko yaendako,mengi yanaenda ZAMBIA,CONGO,ZIMBABWE,BURUNDI,UGANDA RWANDA.Inamaa yakifika huko na uzito unapungua? Wenzetu bara bara zao zina ubora wa...
  6. F

    Sikukuu sio jumanne (15/10/2013) kama kalenda zinavyoonyesha ni 16/10. BAKWATA wakemee kalenda hizi

    .Kipimo kikuu cha kujua Eid ni lini ni pale Mahujajj wakiwa Arafa. Usijichanganye we shika hili wala hutosumbuka wala kuyumbishwa jombaa. Kwa wenye akili timamu hawahitaji kutangaziwa sikukuu na hao wapiga ramli wasioenda shule BAKWATA
  7. F

    Sikukuu sio jumanne (15/10/2013) kama kalenda zinavyoonyesha ni 16/10. BAKWATA wakemee kalenda hizi

    .Kipimo kikuu cha kujua Eid ni lini ni pale Mahujajj wakiwa Arafa. Usijichanganye we shika hili wala hutosumbuka wala kuyumbishwa jombaa
  8. F

    Sikukuu sio jumanne (15/10/2013) kama kalenda zinavyoonyesha ni 16/10. BAKWATA wakemee kalenda hizi

    .Jamani tusipotoshane, Eid hii ya kuchinja au Eid kubwa haihitaji muandamo wa mwezi au kalenda, Tunatakiwa kuwafuata mahujaj na Ibada ya Hijja inavyo kwenda na pale wanapoingia/kuwa ARAFA Waislam ambao hawapo kule ni sunna kufunga na siku inayo fuata ndio sikukuu yenyewe.Kwa mfano sasa Juma3...
  9. F

    Mtoto wa Waziri apata mkopo elimu ya juu wa mstaafu kanyimwa.

    .we ndio mtoto inakuwaje anaepewa ilhali ka feli? ni kigezo gani cha kumpatia mkopo DIV 3 na kunyima wa DIV 1.ACHA UTOTO.Vipi inakuhusu nini?
  10. F

    Mtoto wa Waziri apata mkopo elimu ya juu wa mstaafu kanyimwa.

    We vipi issue hapa ni vigezo vyakuupata huo mkopo.DIV 3 anapewa mkopo Div 1 Demu halafu anakosa mkopo.Usikurupuke jombaa
  11. F

    Mtoto wa Waziri apata mkopo elimu ya juu wa mstaafu kanyimwa.

    .Wapo UDSM mwaka drop yo mobo no.nikupatie majina matatu ya huyo waziri wa jinsia ya KIKE
  12. F

    Mtoto wa Waziri apata mkopo elimu ya juu wa mstaafu kanyimwa.

    Mtoto wa waziri bahati mbaya alipata Div 3 na wa Mtaafu tena wakike kapata Div 1.Lakini board ya mikopo imemnyima wa mlala hoi aliye faulu akapewa mtoto wa waziri aliye feli.wanajuana na yule mtoto wa waziri.Mtoto wa waziri alimueleza mama yake (waziri) mbona rafiki yangu kakosa mkopo na ilhali...
  13. F

    CHADEMA yakimbiwa na wasomi, Katibu CHASO ahamia CCM

    Siku zooote ulikuwa wapi usiyaseme haya uyasemayo sasa?
  14. F

    Kuhusu comprehensive cover ya Real insurance, naomba msaada

    Zifuatazo ni nyaraka muhimu zitahitajika na REAL Ins.PF 93, PF 90,SCATCH MAP,REPAIR COST FROM REPAIRER LAZIMA AWE APROVED NA ATI,PHOTOZ,LAZIMA UJAZE CLAIM FORM, NA UJIANDAE KUCHANGIA KIDOGO
  15. F

    Lwakatare, Ludovick wafikishwa mahakamani Kisutu

    Kumbe wagalatia nao ni MAGAIDI
  16. F

    Lwakatare, Ludovick wafikishwa mahakamani Kisutu

    .Mungu yupo hata kwa wale wanaoitwa MAGAIDI KILA SIKU(WAISLAM)
  17. F

    Radio Imani, Kwa Neema FM zafungiwa... Clouds FM yatozwa faini!

    Sababu za kijinga sana.Hovyo kabisa
  18. F

    Vinara wa kueneza Udini Tanzania

    .Na makanisa yoote ya kilokole pamoja na Baba wa Taifa
  19. F

    Kupanda kwa Gharama za BIMA "Serikali tuhurumieni wananchi"

    .hizo zinakuwa nyingi lakini bahati mbaya ukigonga mali za watu au ukiua/kujeruhi? .hapo ndipo utajua CHEAP IS XPENSIVE
Back
Top Bottom