mimi sifahamu chochote kuhusu kilimo cha alizeti,ninachofahamu ni kwamba MUZAR OIL walitoa tangazo kwamba wana uwezo wa kununua alizeti yote inayolimwa na wakulima wa nchi hii.Kazi ni kwako
frem in ukubwa wa kutosha na panafaa kwa biashara yoyote maana ni barabarani,salon,duka la hardware na vifaa vya umeme,makabati ya kawaida au ya kichina nk.kodi inatakiwa kuanzia miezi sita na kuendelea.karibu
JF tunaomba mwongozo maana wengi tumeguswa na msiba huu na tunatamani angalau kutoa chochote kwa ajili ya kuifuta machozi familia ya Dada Regia.
Nashauri kama itawezekana wekeni namba ya Mpesa/Tigo pesa hapo kwenye front page kwa wadau kuchangia au kama utaratibu mwingine ulioandaliwa...
Huo ugonjwa unaitwa ndui. Ilitakiwa uwape chanjo ya ndui walipofikia umri wa miezi miwili. Hivyo cha kufanya wape dawa yoyote ya antbiotic na dawa za mafua pia wape vitamin unaweza kuokoa baadhi.ole sana
mimi nadhani swrikali si legelege bali hii nchi haina serikali kabisa.maana kama aerikali ingekuwepo isingeweza kukaa kimya katika janga kubwa kama hili nilitegemea kusikia tamko na msimamo wa serikali.kwa maana hiyo wafanyabiashara ndio wanoongoza nchi tena wanaongoza kadri wanavyopenda wao.
kikao kimeisha? mmediscuss nini na mimi naguswa ila nimechelewa kupata taarifa. next time utoe tangazo mapema ili tujipange maana mishe mishe za hapa town si unazijua inabidi tujipange katika swala zima la muda.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.