Search results

  1. Manyi

    Nyerere Alifanya Makosa Makubwa...

    Mkuu, huyu dada hajitambui. JPM kaingia madarakani mishahara hakuna. Bandarini wizi mtupu. Nchi ma deal kila mahala. Huyu dada anachekesha sana. While we agree kwamba Kikwete kafanya mambo mazuri, BUT it is a joke, kumlinganisha na Nyerere au eti kusema kuwa he was the best president of this...
  2. Manyi

    Nyerere Alifanya Makosa Makubwa...

    Kwa haya uliyoaandika, inaonyesha jinsi gani ulivyo mjinga. Baada ya Miaka 20 Rais atakae kuja na kuiacha hii nchi, definately ataacha nchi yenye shule nyingi, umeme, vyuo nk kuliko wale wa nyuma yake. Kila siku haya mambo yanafanyika na kujengwa kwa kuwa population inaongezeka. Kumbuka kipindi...
  3. Manyi

    Nafunga mjadala, Waziri Nchemba usitudanganye tena na zaidi

    Mzee Tupa Tupa wa Lumumba, suitegemee #Mwigulu Nchemba aje hapa ajibu tuhuma hizo mkuu. Wewe mwaga data na upupu wote hapa ndo itakuwa sawa kabisa. Ukifunga mjadala kwa namna hii hujasaidia Taifa na nafsi yako pia. Funguka mkuu.
  4. Manyi

    PhD ya Magufuli na wanasiasa wengine zichunguzwe upya!

    Kwa hiyo mnataka nani achunguze?? Wenye mashaka ndo mnatakiwa mfanye hivyo.
  5. Manyi

    PhD ya Magufuli na wanasiasa wengine zichunguzwe upya!

    Wangesumbua balaa.:D:D:D
  6. Manyi

    PhD ya Magufuli na wanasiasa wengine zichunguzwe upya!

    Atetee Elimu yake kwani fake? Mnaoona ni fake leteni vigezo na ushahidi kuwa ni fake. Ila sometimes watu mnachekesha sana. Sijui ni msongo wa mawazo na maisha magumu ndiyo vinawasumbua. Tulieni vijana watu wapige kazi,. Majungu hayana nafasi katika era hii.
  7. Manyi

    PhD ya Magufuli na wanasiasa wengine zichunguzwe upya!

    Zamani watu walikuwa wanang'aka ukiisema vibaya UDSM, lakini kwa kuwa ni PhD ya Magufuli aliyopiga UDSM leo UDSM inapigwa zengwe. Kweli siasa zinaharibu sana watu.
  8. Manyi

    PhD ya Magufuli na wanasiasa wengine zichunguzwe upya!

    Nenda UDSM Library utapata, acha uvivu.
  9. Manyi

    PhD ya Magufuli na wanasiasa wengine zichunguzwe upya!

    Afadhali hiyo blog imejitahidi kudadavua, japo PhD yake haipo kwa machapisho
  10. Manyi

    PhD ya Magufuli na wanasiasa wengine zichunguzwe upya!

    CV Ya Dr. John Joseph Pombe Magufuli ~ LEWIS MBONDE BLOG EDUCATION School Name/Location Course/Degree/Award Start Date End Date Level Chato Primary School CPEE 1967 1984 Primary School Katoke Seminary Biharamulo, Kagera CSEE 1975 1977 Secondary School Mkwawa High School ACSEE...
  11. Manyi

    Dr. Wilbrod Slaa kesho kuanza rasmi vikao vya chama

    Mkuu, G Sam mkutano ndo huuuooo...vipi DR wapi. Ila nashauri JF Members muwe na uhakika wa hbari kabla ya kukimbilia kupost.
  12. Manyi

    Prof. Mark Mwandosya: Mchakato wa kumpata mgombea urais CCM uligubikwa na utata

    Mnafiki tu huyu Prof nae. Mbona alipewa Uwaziri wa bure ili ajitibu vizuri alikaa kimya?? Atueleze katika Uwaziri wake alikuwa na kazi gani. Mshukuru Kikwete. Siasa kweli unafiki
  13. Manyi

    Msimamo: Nitasimama na Majemedari Ninaowajua, Tuliopigana Vita Pamoja Nao...

    Only fools cannot change their mind
  14. Manyi

    Kwanini Uhuru Kenyatta anaajiri wa Tanzania kuwa washauri wake?

    You will never know what you have until it is gone.
  15. Manyi

    Mshahara wa Nehemia Mchechu wa NHC ni USD 19,000 kwa mwezi

    Dogo usipanic. Kwa CEO wa shirika kama lile hiyo ni kawaida tu. Kwanza hujui kuwa hayo ni majukumu makubwa sana.
  16. Manyi

    University of Dar es Salaaam: Mtambo wa kuzalisha wahujumu uchumi na mafisadi Tanzania

    Ha ha haaaaaaaaaaa. nimecheka sana. Matatizo ya kukosa admission UD kwa maksi zao mbovu ndo zinawafanya wabwabwaje hivyo.
  17. Manyi

    University of Dar es Salaaam: Mtambo wa kuzalisha wahujumu uchumi na mafisadi Tanzania

    Pia msisahau kuwa Professors wengi na Phd holders wengi walioanzisha vyuo vingine na wanaofundisha huko ni zao la UDSM. Haingii akilini kwa nini wahitimu wa huko muwaone kuwa hawana chembe ya ufisadi. UDSM lazima wawe ni victim kwa kuwa wamezalisha wahitimu wengi na kwenye msafara wa mamba kenge...
  18. Manyi

    University of Dar es Salaaam: Mtambo wa kuzalisha wahujumu uchumi na mafisadi Tanzania

    Tena mkuu serikalini wamejaa wahitimu wa Mzumbe,IFM,TIA.,IAA.wengi wahasibu ni wezi kichizi aisee.
  19. Manyi

    University of Dar es Salaaam: Mtambo wa kuzalisha wahujumu uchumi na mafisadi Tanzania

    Hakuna correlation ya wizi na UDSM. Kwanza kwa taarifa zako vyuo vingi zamani vilikuwa ni matawi ya UDSM. Kuna wala rushwa wakubwa hata UDSM hawapajui na tuna wazalendo wengi sana wamesoma UDSM. Tusilete masihara na chuo kikongwe bongo wakuu.
Back
Top Bottom