Search results

  1. R

    Hamtanifukuza kama akina Mwapamba, Mchange na Shonza halafu yakaishia hapo!! naijua katiba ya chama

    Wewe unajua kutunga ngonjera aisee. Hivi upo darasa la ngapi? Kama ngonjera ya kuitimu std seven
  2. R

    TANZIA Waziri wa Fedha, Dkt. Willliam Mgimwa afariki dunia!

    Mbona muda mrefu about a month amelazwa south africa. Was seriously heal. May his soul rest in peace
  3. R

    Mgomo wa madaktari - Updates

    Asante sana madaktari wa Mnazi Mmoja Zanzibar Kwa kuungana na wenzenu wa bara katika mapambano ya ukombozi wa sekta ya afya
  4. R

    Msitari mweusi chini ya kitovu

    acha kudanganyana, huo mstari upo kwa kila mtu ila unaonekana sana kwa wanawake na hasa wakiwa wajawazito.Kiutaalamu unajulikana kama " linia nigra" na unatokana na ngozi kutanuka na hormonal changes during pregnangy. kwa hiyo hakuna cha kutoa mimba hapo. na watu wengine wakizaa huwa unafutika...
  5. R

    Matumizi ya simu katika Mahusiano

    na hilo la kuuliza? demu wako anamegwa na mdau mwingine
  6. R

    Sababu hamsini za Lowassa kuwa mgombea wa CCM 2015

    dah jamaaa kajitoa mhanga kuongea upupu kwenye jf.
  7. R

    Kumbukumbu ya Brigedia Gen. Moses Nnauye!

    kumbe huyu ndo baba wa boga nyaya nape, jamaa yule vuvuzela asikuwa na maadili kabisa
  8. R

    Msimu wa joto ndiyo huu, linaunguza maeneo yasiyohusu

    mbona mapaja meusi jamani dah
  9. R

    Kwani hii dhana bado ipo...??

    mi namzidi mke wangu mwezi mmoja tu lakini tunapenda vizuri na familia ina amani
  10. R

    Kwanini Makao Makuu ya CHADEMA hakuna picha ya Rais wa nchi?

    kuna aja gani ya kuwa na gamba ndani ya ofic ya CDM?
Back
Top Bottom