Search results

  1. M

    Najilipua

    Nimeshakaribia, aliyekuwa na wasiwasi sintafika mwaka huu, nimefika japo nimefika kwa factor, ........
  2. M

    Re: Msaada tafadhali

    Asiitoe mimba, azae tu na aendelee kuishi na huyo mwanaume, si baba yake? Alimkataa wala asiumize kichwa huyo si baba yake kabisa.
  3. M

    Sifa za Mume mwema

    Madame b, Dudu, ipi maana ukubwa in relative term, Nina maana kitu Kimora kinakuwa kidogo au kikubwa kutokana na ukubwa au udogo wa Dudu nyenzake.......
  4. M

    Tafadhali mwenye kujua namba hii.

    Tafuta directory ya ttcl, itakwambia kila kitu, hapo utapata majibu ya kukufanya u log off
  5. M

    Swali la Ugomvi: Kwanini unaikataa CCM?

    Naikataa ccm kwa Kuwa bado inaendesha serikali kwa mfumo wa kizamani, hawaendi na wakati, mpaka sasa hawajui watanzania wanakua nini? Bado wanajilimbikizia posho, wanabambika bei manunuzi ya serikali, wana malipo hewa ya mabilioni ya shilingi, matumizi ya fedha za watanzania kwa mambo yasiyo ya...
  6. M

    Najilipua

    Oyaa wana JF, ni member mpya mtaalam wa kuchangia mada zote. nitaanza kufanya vitu early next year
Back
Top Bottom