Search results

  1. M

    Samson Mwigamba 'atimuliwa' uongozi ACT-Tanzania, Prof.Kitila, Mchange wapewa karipio kali

    dhambi ya usaliti itaendelea kuwatafuna. kutoka chadema. ACT. na watakao kwenda.
  2. M

    Taarifa ya Baraza la CHADEMA mkoa wa Singida kwa Umma

    hawaijui katiba.home ni wa Jumbe gani hao? tangu lini Jumbe wa m4 c wamekuwa wa Jumbe wa mkutano mkuu na baraza kuu Taifa. haya hiyo orodha ya majina imeandaliwa na kusainiwa na MTU mmoja. aibu wajinga kweli hawajitambui. kitila na zito acheni kujiaibisha
  3. M

    Taarifa ya Baraza la CHADEMA mkoa wa Singida kwa Umma

    hata kama wangekuwa ni viongozi Kwa nafasi walizojitambulisha bado wasingekuwa wa Jumbe wa baraza kuu na mkutano mkuu wa chadema Taifa.
  4. M

    Ushahidi wa sms za m-pesa kutoka kwa kapuya kwenda kwa binti

    namba ambayo prof anasema alishaigawa miezi 6 iliyopita, ingawa aliiandika katika tamko lake ni 0784993930, ndiyo namba inayotuma ujumbe wa vitisho. Namba inayotumika kutuma pesa ni 0755993930, imetuma zote hizo, tuma kiasi chochote ujue jina. Watanzania tuache siasa kwenye maisha ya watu.
  5. M

    Kifaa cha CHADEMA chakamatwa na watu 6 waliomvamia Dr. Mvungi

    Kaeni mkijua hata majambazi wana itikadi, ujambazi ni ujambazi tu, kama ambavyo akina kinana, wanaouwa wayama porini na hong,kong yao huu sii mauwaji, we unaakili ya makengeza. Huna jipya, lakini ianavyoonekana kuna watu wa ccm wameitupia mana wapo humona ukijani wao kupanga prap. Huwa hawakawii.
  6. M

    Zitto Kabwe atinga Polisi, aandikisha Statement kufuatia kutishiwa maisha!

    Zitto unatufanya sisi ni watoto kwanini?
  7. M

    Ukweli kuhusu CCM kumbeba Kapuya dhida ya Ubakaji alioufanya, huu hapa...

    Hoja ya Kigwangala Spika aondoke ilikuwa ya mashiko, hata kama sababu ilikuwa hii, Spika kwa kutajwa na watoto hawa kufanya negotiation kwa suala zito namna hii, kisha kushindwa kumwita Kapuya kufika dodoma, Spika amejidhalilisha. hapa ndio wanawake mjijue mko wapi, na kelele zenu za 50% kwa 50%...
  8. M

    Tundu Lissu aibuka shujaa Bungeni: Mapendekezo ya Werema kuwabana wanahabari yatupwa nje

    Lissu ameokoa taifa letu kwa kulelezea kwa hoja sheria ya Magazeti ambayo imekuwa ikilalamikiwa, akamhenyesha sana Werema kwa Maelezo yake, wabunge wenye akili wakaona linafaa wakapiga kura kumpinga Mwanasheria hatimaye adhabu hii kandamizi ikaondolewa ...
  9. M

    Takwimu za ofisi ya pinda elimu imeanza kushuka 2005 (jk alipoingia madarakani)

    NAMUUNGA mkono Waziri Mkuu, Mizengo Pinda, kuwa tangu Rais Kikwete aingie madarakani mwaka 2005 elimu imeshuka mwaka hadi mwaka. Hii ni kwa mujibu wa taarifa rasmi ya Ofisi ya Waziri Mkuu ya Machi 2, 2013. Pinda anatoa ufafanuzi wa taarifa hiyo wakati akizungumza na wajumbe wa tume yake kwenye...
  10. M

    Wahariri kikwazo cha mabadiliko/mageuzi nchini

    Watanzania watalia usiku na mchana wakisema wana Maisha magumu, watasema wanataka mabadiliko. Lakini Kikwazo kikubwa ni Wahariri nchini kuishi bila kujitegemea kimawazo, bila kuweka maslahi ya taaluma zao mbele, wao hubaki kujikomba kwa Mashirika makubwa nchini yawafadhili pesa kwa ajili ya...
  11. M

    Kufungiwa Mwananchi na Mtanzania: Fundisho stahiki kwa Jukwaa la Wahariri (Editors' Forum)

    Mwana Mpotevu = inaumiza sana, tunahitaji mabadiliko
  12. M

    Zanzibar ilipuuzwa kwenye kutoa maoni, upinzani wapo sahihi

    Kibanga kwa Ratiba hii hata watu wakiandamana watakuwa na haki kabisa. Ndugai, ametumika kusoma upuuzi Bungeni, wabunge wa CCM wote wakashangilia na kupitisha wakiongozwa na maoni ya Pindi Chana aliyekuwa anataka kuhakikishia watu kuwa Lissu alikuwa mwongo akasaidiwa na Lukuvi na Werema, huu ni...
  13. M

    DDP: Tukio la tindikali Zanzibar sio ugaidi

    Mwendesha Mashtaka Mkuu wa Serikali Eliezer Feleshi amesema tukio la kumwagiwa tindikali kwa raia wawili wa Uingereza sio la kigaidi. "matukio haya yasichukuliwe jumla jumla, sisemi moja kwa moja kuwa tukio hilo ni la kigaidi ila naomba tuhamasishe jamii ya watanzania utii wa sheria bila...
  14. M

    CCM wafanyia mkutano kituo cha polisi

    Kile ambacho tunalalamika kila siku na kutoa ushahidi lakini serikali inapuuza. Chama cha Mapinduzi wakiongozwa na Mbunge wa jimbo la Segerea na Naibu waziri Makongoro Mahanga wamefanyia mkutano kwenye mlango wa kituo cha Polisi kana kwamba hakuna viwanja vingine. Polisi wakashindwa kufanya...
  15. M

    Polisi ya mlinda mtuhumiwa wa ujambazi kanda ya ziwa

    Hapa Mkuu wa Kituo wa makuyuni akipiga stori na Kada wa Chama cha mapinduzi aliyevaa kofia ya CCM , aliyenyang'anywa mirungi na afande huyo muda mfupi baada ya tuki la Mbunge wa Arumeru Mahariki Joshua Nassari kutekwa. Kada huyo hajawahi kutiwa hatiani hadi leo
  16. M

    Hali tete Bukoba,polisi wafunga barabara kuzuia maandamano

    Mimi nimeipenda picha kabisa. Sielewi kwanini Askari wote wakapatwa na usingizi kwa wakati mmoja, ila sijajua walikuwa wapi, wamechoshwa na nini? kwanini wote wachoke kwa wakati mmoja. Wakaamua tu mmoja kichwa juu, mwingine chini. Usingizi kwa kwenda mbele
  17. M

    Natafuta kitabu cha Hekaya za Abunuasi

    Du kweli ndug yangu umenikumbusha naombeni tanzania kitabu hiki kichapishwe tena. Vip kibanga ampiga mkoloni?
  18. M

    Singida wajumbe wa mabaraza wachaguliwa na wdc bila kjieleza, wazuiliwa kujieleza,

    Wapendwa wanajf. Nasikitika kuwatarifu kuwa wajumbe wa mabaraza ya katiba waliochaguliwa wamechaguliwa bila waraka kufuatwa, kwa kuzingatia sifa halisi za waombaji na kama waraka ulivyoagiza. Ambapo moja ya sifa ya mwombaji ni awe anajua kujieleza,na kupambanua mambo, hivyo wote walioteuliwa...
  19. M

    Singida: Afande apiga picha za uchi na kupiga wake za watu

    Hali ya uchumi ni ngumu, pengine anafanya vile kujikimu. Kosa ni pale anapoanza kuwabambikizia wengine kesi kwa hofu ya yeye kufumaniwa
  20. M

    Oganaizesheni ya mafunzo CHADEMA

    nadhani umekosea kuuliza, ulipaswa kuuliza mada ni nini si swala la mahali pa kusomea,ambapo inaweza ikawa hata chini. ya miti.
Back
Top Bottom