Search results

  1. S

    natafuta kazi na experience

    what is the problem mpaka unamwambia kama yupo serious? kama ni CV ipo simple tena nice na inalingana na qualification yake.
  2. S

    PPF Interview

    Kitambo sana watu wanasubiri kuitwa kuanza mzigo
  3. S

    Am a job seeker

    check website ya NMB wametoa nafasi kwa watu wenye qualification kama yako hivi..gd luck
  4. S

    Interview tcaa,heslb, St John university

    watu weshakula shavu apply kungine bro
  5. S

    Job resign

    Pole bro ..usiangalie return kwa sasa ( salary) focus zaidi kwenye kazi. Kama hiyo kazi ya masaa 14 ina add value kwenye experience yako basi utakuwa ni mtu mwenye faida sana kuliko yule wa masaa 8 halafu ha gain chochote in term of experience...hiyo salary isiwe ndio kigezo, ila kama kazi...
  6. S

    Daah....nimetafuta kazi jamani hadi sasa napoteza imani

    Kaka pole sana hoja si interviews..mimi binafsi nimeshafanya interviews zaidi ya 7 hivi...lakini sijafanikiwa na nina experience ya kutosha ...na kingereza nakijua sana tu na confidence ya maana....imefikia wakati nikiitwa interview nafikiria mpaka kutokwenda koz nahisi ni changa la macho...
  7. S

    JamiiForums ni kiboko, imenipa kazi mwenzenu

    Ndio kwanza umegraduate how much do u want? Sikiliza ikiwezekana ktk huu mshahara wako fungua akaunti aina ya saving ambayo utajiwekea akiba angalau 50,000/= kila mwezi...then mambo yako mengine yote yaishie kwenye 330,000/=, hiyo 50,000/= unayo save itakuja kukutoa baadae...Pia endelea kuua...
Back
Top Bottom