Search results

  1. M

    Zitto Kabwe: Sitagombea tena Uongozi ndani ya ACT WAZALENDO, najikita kwenye Ubunge. Malengo yangu ni kuwa Rais wa Tanzania

    Kila Muislam aliyeko kwenye nafasi ya uongozi nyie mnamwita mdini ilhali nyie ndiyo wadini wakubwa. Acheni huo ujinga na ubaguzi.
  2. M

    Ni nani ameruhusu maigizo kama haya Ikulu?

    Kwa bahati mbaya wengi akiwemo mtoa mada hawajui coconut value chain. Madafu ni biashara ya kimataifa na nchi kama India wanaingiza pesa nyingi za kigeni kwa kuuza madafu na bidhaa nyingine za minazi.
  3. M

    Ni dhihaka kwa Mungu kualika kwenye futari watu wenye uwezo waliokula milo mitatu

    Siyo gubu bali ameongea ukweli. Futari inatakiwa wapewe masikini na mafukara wasio na uwezo. Yaani wapewe wafungaji ambao hawajui watafuturu nini. Sasa ukiandaa futari halafu ukawaita wasiofunga na wanasiasa waje kula hiyo siyo futari bali ni dhihaka kwa dini.
  4. M

    Angellah Kairuki: Tanzania tunapoteza takribani eneo la misitu hekta 469,000 kila Mwaka. Upandaji wa miti ya Mianzi utaleta tija

    Mkuu ingia youtube tafuta bamboo products utaona faida nyingi sana za mianzi. Kwa ufupi ni dili sana kwa Wachina na watu wa Asia kwa ujumla. Sisi huku tumelala sana na umasikini wetu ni mtaji kwa wanasiasa.
  5. M

    Na mimi ndio mwanaume wa kwanza kuulizia mshahara wa mkewangu na kuupangia bajeti

    Women are the accomplices of the devil. Remember what happened to Adam.
  6. M

    Kwanini ikitokea mfanyakazi mmoja wa ofisi za umma akawa mtenda haki, sio mpenda rushwa anachukiwa sana?

    Nakushauri kitu kimoja usile wala kunywa chochote hapo ofisini na ikiwezekana hata unapoishi hao wafanyakazi wenzako wasipajue. Watu wengi wameuawa kwa sumu au njia nyingine kwa misimamo ya kupenda haki kama wewe.
  7. M

    Ndoa za wake wengi ni mateso sana kwa watoto/ wake

    Mabao tunapiga na malezi tunatoa kulingana na hali zetu. Yeye asitushauri kwani kila mtu ana mipango yake. Asichukulie maisha ya familia yake ndio akafanya rejea ya maisha ya kila mtu. Ndoa zote zina changamoto hata hizo za mke mmoja. Mara ngapi tunashuhudia watu wenye mke mmoja wametelekeza...
  8. M

    Ndoa za wake wengi ni mateso sana kwa watoto/ wake

    Wewe baki na mkeo usitupangie maisha. Sisi tuna wake zaidi ya mmoja na tunainjoi maisha kama kawaida.
  9. M

    Ndoa za wake wengi ni mateso sana kwa watoto/ wake

    Siyo kwa sababu baba yako alikuwa na wake wengi akashindwa kuwalea basi watu wote watashindwa. Usichukue kesi ya nyumbani kwetu ukaifanya ni kesi ya watu wote. Kuoa watu wengi siyo suala la kidini tu hata mila na desturi za makabila yetu zinahimiza mwanaume kuoa wake wengi. Wewe kama hutaki kwa...
  10. M

    Rais Mwinyi, tengua Amri haramu ya kwamba Wamasai hawaruhusiwi kutembea na fimbo na Sime Zanzibar. Inahatarisha Muungano!

    Acha kutetea ujinga. Unaruhusu vipi watu watembee na silaha katika nchi iliyostaarabika kama Zanzibar? Visu na marungu vya nini Zanzibar? Kama wanataka kutembea na visu na marungu yao warudi huku Bara ambako wamezoeleka na siyo kwenye nchi za watu.
  11. M

    Napenda kujua zaidi kuhusu Kilimo cha minazi (coconut tree)

    Kama ni hivyo isipungue meta nane kati ya mti na mti. Ili ufanye kilimo chenye tija jitahidi uwe na walau minazi 300 hapo utaona faida yake.
  12. M

    Napenda kujua zaidi kuhusu Kilimo cha minazi (coconut tree)

    Minazi haihitaji maji mengi. Ukiipanda masika na ikishika vizuri inakuwa vizuri tu unless utokee ukame usio wa kawaida.
  13. M

    Napenda kujua zaidi kuhusu Kilimo cha minazi (coconut tree)

    Nimezaliwa Tabora na kukulia kule. Miaka hiyo kulikuwa na minazi kibao tena yenye kuzaa nazi nyingi. Tabora minazi inakubali ila hakuna wenye mwamko wa kuipanda. Mingi ilipandwa na Waarabu na ilishajifia kama ilivyo kwa miembe.
  14. M

    Napenda kujua zaidi kuhusu Kilimo cha minazi (coconut tree)

    Mkuu ekari moja miche 100-120 kwa spacing ipi? Kimataifa minazi mirefu ni meta 10 kati ya mche na mche na minazi mifupi ni meta 7 kati ya mche na mche. Kwa wastani ekari moja ni miche 70 hadi 80.
  15. M

    Wenzetu wanaoenda Israeli kujifunza Kilimo wananatekelezea wapi kwa vitendo tukajifunze?

    Kwani hujasikia wengine wanapigana na HAMAS wakiwa na IDF? Upo wapi Mkuu?!!
  16. M

    Minazi ni bora kuliko mikorosho

    Kuna utajiri mkubwa sana kwenye kilimo cha minazi. Kwanza kama una ardhi gharama za kuanzia siyo kubwa ukilinganisha na mazao mengne. Minazi haihitaji huduma nyingi kama mazao mengine. Mtu mwenye minazi 300 tu kwa mfano inayozaa vizuri ambayo kama kila mnazi utampa nazi 200 tu kwa mwaka na kila...
  17. M

    Minazi ni bora kuliko mikorosho

    Kama minazi inahudumiwa vizuri kwa kuwekewa mbolea ya samadi, kuondoa takataka juu ya mnazi na kupaliliwa mnazi mmoja unaweza kukupa nazi 200-300 kwa mwaka.
  18. M

    Chawa walikuwepo tangu Awamu ya Kwanza mfano Waswahili wa Kariakoo na Magomeni walikuwa Chawa wa Nyerere wakiongozwa na Kawawa!

    Na bado kwa husda zake na roho mbaya akawatosa vibaya na wengine akawafunga jela bila hatia.
Back
Top Bottom