Search results

  1. M

    Tahadhari: Email ya Balozi Begum Karim Taj imeibiwa

    Watakuwa jamaa wa Afrika Magharibi hao ndo wamefanya hako kamchezo. Lakini na wa Tz nao siku hizi wameanza hako kamchezo, hasa hasa kupitia facebook. Wanatumia picha za wasichana warembo ili kumvuta mtu. Ukishaingia kwenye mtego, wanasema wana njaa; uwatumie pesa kwa tigopesa, m-pesa, airtel...
  2. M

    Wabunge hawa wa CHADEMA ni janga kubwa

    ki ukweli mimi si mkazi wa maeneo ya wabunge uliowataja mimi niko ubungo, tulimchagua Mnyika tukitegemea mabadiliko ya kweli, lakini anachofanya ni kumtusi Rais bungeni, je sisi tulimtuma hayo? Anafikiri wabunge wengine hawajui kutumia maneno ya kebehi dhidi ya Rais? Anatudhalirisha
  3. M

    Mmejitahidi sana sana kumtetea BABU (Dr. Slaa), lakini...

    Haya sasa Nape, babu ameshatetewa sana; anika mtiririko wa vile amekuwa akilipia uanachama wake CCM. Timiza ahadi; usipofanya hivyo utadharaurika wewe na chama chako.
  4. M

    Mmejitahidi sana sana kumtetea BABU (Dr. Slaa), lakini...

    Yaani wote mnaomshambulia Nape mnasahau kuwa yeye hayo anayoyasema yawe ya kweli au siyo ya kweli ndiyo yanamuweka mjini? Mimi mchumi kazi yakangu ni "ni kudevelop models na kuforecast" ili kufahamu kama mwaka ujao kampuni yetu itatengeneza faida au la; Nape kazi yake ni kupiga propoganda asi...
  5. M

    Kibanda: Kinana ni Kimbunga

    Kinana ni bingwa wa mikakati ya wizi wa kura au pale ambapo wapinzani wanapokubalika sana karatasi za kupigia kura hazipelekwi. Zikipelekwa na CCM ikashindwa basi anailazimisha tume ya uchaguzi, uchaguzi urudiwe. Labda hicho ndo kimbumbuga anachokimaanisha Kibanda; maana hajadadavua hoja yake...
  6. M

    Bukoba: Waziri Kagasheki asoma maoni ya wana JF jukwaani, adai ni uongo!

    Subiri kwanza niingie chimbo pale WIPO, Geneva, nitawapa mazagazaga ya Kagasheki.
  7. M

    Ufisadi wa Blandina Nyoni huu hapa!

    Kwani alionekana ana kosa gani? Hayo yote majungu. Bravo madamme Blandina Nyoni; bado tunahitaji mchango wako uliotukuka katika kujenga nchi yetu changa na maskini.
  8. M

    JF ninaomba sala zenu leo ni kura za maoni!

    Jitahidi kuongea kiswahili fasaha maana ukiongea american English utakosa kura za Lusinde, Ngonyani, Lameck Airo, nk. Hawa wote elimu zao darasa la saba. Tell me brother: Hivi EAC ina idadi ya watu wangapi? Na pato lake kwa mwaka ni kiasi gani?
  9. M

    Nini kilisababisha Prof Mwakyusa kumpuuza Baba wa Taifa?

    S kwamba Dr. Mwakyusa alimtelekeza Baba wa Taifa kule Butiama tu, bali hata alipoenda naye St. Thomas Hospital aliendelea kumpuuza. Yaani alikuwa amuangalii kwa ukaribu kama daktari wake!
  10. M

    Ufisadi wa Blandina Nyoni huu hapa!

    Tunaomba na wale walioko Wizara ya Ardhi na wizara zote alizopita watupe ufisadi wa Katibu Mkuu Patrick Rutabanzibwa; maana naye anajifanya Mungu mtu. Hana tofauti na Blandina, halafu naye ana roho mbaya sana!
  11. M

    Mgomo wa Madaktari (Leo): Kiburi cha Blandina Nyoni

    Kweli kabisa; madaktari wakiboronga sawa lakini mtu mwingine akiboronga anashikiwa bango mpaka basi!! Kwani lazima wafanyie mazoezi Muhimbili Hospitali tu?
  12. M

    Marehemu!

    Na kwa jinsi tulivyo wazito kuelewa na wepesi kusahau hata akifariki mtoto wa miaka miwili tutasema sifa hizo hizo!
  13. M

    Hamad Rashid kuanzisha chama kipya!

    MS ulisomea wapi Uhasibu?
  14. M

    Mgomo wa Madaktari (Leo): Kiburi cha Blandina Nyoni

    Acha kwanza akomeshe jeuri ya madaktari maana nao wamezidi nyodo. Komaa Blandina Nyoni.
  15. M

    Swali: CCM ni Chama Cha 'Mapinduzi' Yepi?

    C.C.M ni chama cha mapinduzi ya kilimo na viwanda (angalia nembo yao ya jembe na nyundo).
  16. M

    Dk Bana wa REDET/UDSM unashangaza!

    Acha utani! Sasa ilikuwaje akasoma mpaka PhD? Shule ya msingi ipi hiyo?
  17. M

    Dk Bana wa REDET/UDSM unashangaza!

    Hivi Dr. Bana (a.k.a. Rugimbana) amesomea shule zipi O-level na A-level na alifaulu katika madaraja (divisions & points) gani kabla ya kwenda UDSM?
  18. M

    Kilewo: Wabunge wa Dar acheni kulalamikia kauli ya Magufuli, chukueni hatua

    Basi kama asilimia mia ni kubwa hebu tuongeze asilimia 5 kwa kila mwaka kwa miaka 14 tuangalie Magufuli alitakiwa kuongeza kiasi gani.
  19. M

    Kilewo: Wabunge wa Dar acheni kulalamikia kauli ya Magufuli, chukueni hatua

    Asilimia mia maana yake nini? Hata nikiongeza bei andazi toka sh50 hadi sh 100 ni asilimia mia moja!!! Watanzania tufanye kazi kwa bidii; tuache manung'uniko.
Back
Top Bottom