Search results

  1. vipik2

    Mlio oa au kudate na wanawake wa kimachame njoeni hapa tufarijiane ndugu zangu

    Nina jamaa yangu alinusurika kufa lakini alilazwa Hospital zaidi ya miezi 10 na alipotoka huko akakuta Nyumba sio yake tena, watoto wamehamishwa kusikojulikana mpaka wa leo anaishi maisha sawa na ya jalalani, Jaribu na wewe uone
  2. vipik2

    Profesa Janabi: Bei ya sukari imepanda juu, take advantage

    Huyo Prof mwambieni Sasa Ni wakati muafaka alete kidonge Cha mchanga kisichokuwa na wanga ili tukila tunashiba na kutosikia njaa, hata hivyo tusipokula vyakula vyenye wanga mwili utapataje nguvu? Wake zetu watahudumiwa na nani?
  3. vipik2

    Mazishi ya aliyewahi kuwa Waziri Mkuu, Hayati Edward Lowassa, Februari 17, 2024

    Tunaomba kujua yule bwana aliyepigwa akafloti kafa?
  4. vipik2

    Manara adai hakuna wa kumuua Makonda labda afe kwa 'stress' zake mwenyewe. Amtaka awaombe msamaha watanzania kwa dhulma

    Manara Asante sana kwa kuwa na Tabia za kisukuma, msukuma Bora umuue kuliko kinyesi chake kichanganyike na mtu mwingine ndio maana hachimbi choo na akichimba anakuachieni yeye porini na jiwe lake la kuchambia
  5. vipik2

    Ushauri: Tundu Lissu usihudhurie Interview nyingine itakayopangwa na WASAFI FM

    Kinachonishangaza Ni kwanini TAL ameenda kwao pamoja na kutaarifiwa kuwa kipindi kimeahirishwa? Inabidi Lissu awe na jicho la tatu kila pale anapokuwa amealikwa hasa na mahasimu wa chama chake asifikiri risasi 16 ndio stock imeisha kwani kujaribu kumnyang'anya tonge kichaa Ni kujaribu kumuua...
  6. vipik2

    Makonda kawa kituko ziara Kanda ya Kaskazini

    Kwa Jinsi Makonda anavyopenda sifa wewe mtakaa sello moja
  7. vipik2

    Tetesi: Wabunge washauri Luhaga Mpina afukuzwe CCM

    Trump anaweza kutuokoa
  8. vipik2

    Tafakuri: Haya Majiko ya Gesi wanayogawa Wabunge kila kona yanatoka wapi?

    100%, mchezo ndio kwanza unaanza usisahau Gesi ya Mtwara na bwawa la Nyerere Rifiji
  9. vipik2

    MC acheni kuposti video za harusi na sendoff bila idhini

    Na kumbuka ulafi Ni mzizi wa Dhambi
  10. vipik2

    Kuhusika kwa Jeshi la Polisi vifo vya vijana wawili, tunataka uchunguzi huru

    Mimi nikienda Police na kudai wewe Ni mwizi sugu Je no halali wakuue?
  11. vipik2

    Polisi aliyekodi majambazi kumuua mumewe akamatwa, hawara ni miongoni mwa wahusika

    Kuna kitu sijaelewa embu nieleweshe vizuri msagaji huwa anagenye za kuwa na wanaume wawili huku na yeye akiendelea kukoboa wenzie?
  12. vipik2

    Mwaka 2023 Waziri Ummy amepigwa attacks za kimyakimya sana

    Yes! Anatuhumiwa kwa wagonjwa kulala wawili na wengine wanalala chini Je kwa hilo mnataka Anunue vitanda kwa mshahara wake? Hospital hazina dawa Je yeye anatuhumiwa ndiye Mnunuzi anayetowa pesa? Anatuhumiwa ndugu wa maiti kulazimishwa kulipia bill za Hospital kweni yeye Ni Bunge/Serikali...
Back
Top Bottom