Search results

  1. neyl

    Mawakili wa Serikali kuitwa kazini

    Nahisi wanaita kwa awamu kwasababu ya udogo wa eneo tukiitwa wote kwa siku moja tutajaa sana ofice za watu hlf kunakua na kama fujo hivi labla ndio maana wanaita kwa grup ila nina amin wale wote waliorepot mwaka jana lazima wataitwa tu
  2. neyl

    Mawakili wa Serikali kuitwa kazini

    Sidhani mkuu, itakua wanaita taratibu muhimu ni kukaa karibu na simu tu lazima wote waliorepot wataitwa
  3. neyl

    Mawakili wa Serikali kuitwa kazini

    I hope tutaanza kaz mwez huu
  4. neyl

    Mawakili wa Serikali kuitwa kazini

    Jana nimepigiwa pia na mimi nikapewa maelekezo, ila kuna jamaa zangu hawajapigiwa sa sijui anaita kidogo kidogo
  5. neyl

    mnazi mmoja garden/ground

    Habari wadau, naomba kufahamishwa utaratibu wa kukodi kiwanja mnazi mmoja opposite na peacock kwa matumiz binafsi kwa maana ya kwamba sio maonesho ya serikali. Ningependa kujua gharama zipoje na taratibu zake... asante
  6. neyl

    Tumesubiri Ajira Mpaka Basi

    Yan haya majanga na mimi yyamenikuta, AG aamekuwa kimya sana hata mahakama pia zile nafasi za hakimu mkazi wametuacha tu pending hakuna kituo sijui shida ni nin
  7. neyl

    Kiwanja Kigamboni - Lingato, SQM 4200 kinauzwa

    Nikitaka sqm 600 inawezekana? Kwa sh ngapi?
  8. neyl

    Tume ya utumishi wa mahakama

    Vipi kuhusu za hakimu mmkazi IIIbado hhawajaita? Walipiga tu simu kuuliza kama watu bado wapo available hlf kimyaaa naona
  9. neyl

    TRA, tazameni mlivyoniongezea umaskini

    Jaman wakiita watu wachache oooh wanabebana wakiita wote wenye vigezo wanatuonea, hebu wapeni ushauri wafanye nin itasaidia kidogo kuliko kulalamika laiti ukifanikiwa pata hiyo kazi utaona walikua sahihi kukuita interview ila ukikosa lazima ulalamike
  10. neyl

    Kituko UTUMISHI (Matokeo ya USAILI)

    hahahaha umenichekesha we mwanaume bana punguza wivu hawajapendelewa wamepata kaz kwa haki wenzako wapongeze
  11. neyl

    Sekretarieti ya Ajira Muogopeni Mungu

    mh me siamini kwa sababu mimi pia nimepata barua kuitwa kazin kwa AG na nakuhakikishia simjui mtu wala sikutoa hela tena intavyu niliingia wa kwanza katika panel yangu
  12. neyl

    Ajira secretariati ya ajira ni za kupeana

    hayo ni maneno ya mkosaji kama ni kweli mbona hukulalamika siku uliyofanya usaili? umekosa kazi ndio unalalamika
  13. neyl

    Pass mark ya utumishi

    hivi state attorney bado hawajaitwa kazini?
  14. neyl

    Kuita kazini tume ya utumishi wa mahakama

    mimi nimekata tamaa wapo kimya sana sijui kwanin waliwahi kutuita usahili kama hawakujipanga kutuajiri
  15. neyl

    Mahakama zetu ni zaidi ya duka

    sio kitu kidogoo mkuu, hiyo ada ni halali kabisa kwa mujibu wa sheria ya Tanzania tena sasa hivi sheria mpya imeongeza now 20
  16. neyl

    Kitu gani special mabinti wa Tanga wanayo?

    tanga wanapenda mapenzi, me nimeolewa na mbondei baada tu ya ndoa alinambia mama ubara wako uishie getini ukiingia tu ndani nataka pwani nakumbuka honeymoon yetu ilikua mwez bas mwez mzima nilifundwa na mume wangu nilishangaa haswaa, wanaume wa Tanga watamu na watafutaji hlf pesa yote anakukabiz...
  17. neyl

    Tume ya Utumishi wa Mahakama imetoa majina

    hawa jamaa nilifanya nao usaili hakimu mkazi II wakasema watatoa ndani ya wiki mbili au tatu ila wapo kimya kabisa mpaka sasa mwezi na wiki moja sijui nini shida
  18. neyl

    TPDC yakanusha utapeli wa ajira 500

    tatizo watanzania wengi wanapenda vitu rahisi, iweje utoe hela upate kazi, kwanin usiwaze kama kweli nafasi zinaexist basi watoe tangazo watu wafanye applications watakaopita interview waajiriwe then b4 starting job ndio wapelekwe hiyo training, yan wakamatwe hao matapeli na wote waliotapeliwa...
  19. neyl

    Hali ya maisha Babati mjini

    Habari wapendwa, mdogo wangu amepata kazi halmashauri wa mji wa babati sasa kwa anayepafahamu vizuri naomba anisaidie kujibu mambo yafuatayo, 1. safe place ya kuishi maana asije tafutiwa nyumba na dalali sehemu zinazoongoza kwa vibaka. 2. kodi chumba na sebule self contained na kajiko inarange...
  20. neyl

    Usaili nafasi ya hakimu mkazi II

    Asante mkuu ina maana haka kawiki kanachoanza kesho ndio tuwe karibu na magazeti
Back
Top Bottom