Search results

  1. Miss Cherry

    Uonevu mashuleni ni janga la kitaifa

    Awali ya yote ningependa kuwatakia wana JF heri ya Mwaka mpya na Mwenyezimungu atufanyie wepesi katika shughuli zetu za kila siku, na bila kupoteza muda ningependa kwenda moja moja kwenye lengo la uzi huu. Bullying in school is a total mess, watoto wetu wanaathirika kisaikolojia kwa ajili ya...
  2. Miss Cherry

    Hatimaye uhusiano wangu umefikia mwisho...

    Habari Za humu ndani wakuu? Natumaini wote ni wazima wa afya ukiachilia mbali changamoto za kijamii zinazotukabili, kama vile Mgao wa umeme na maji, binadamu tuache ukaidi wa kuharibu vyanzo vya maji ili kuepukana na hili janga la ukame,in Chief Hangaya’s voice[emoji2]. Niende moja kwa moja...
  3. Miss Cherry

    Mambo ya ajabu niliyoshuhudia msibani

    Habari za wakati huu wana JF, kwanza kabisa nachelea kusema kwamba mimi ni mgeni humu JF kwa maana kwamba huu ndio uzi wangu wa kwanza. Lkn nimekua nikifuatilia Jamii Forum kuanzia mwaka 2017 ambapo nimekua naingia tu kusoma thread mbalimbali lakini sikua nimejiunga mojamoja. Nimekua...
Back
Top Bottom