Search results

  1. V

    Rais Magufuli tunaomba uondoke na wakurugenzi wako wa Sengerema na Buchosa hawa ni wezi wakupindukia.

    Mtoa maada kuhusu suala la mkurugenzi kujichanganya kwa taarifa mbalimbali hiyo ni kwel na ilo laweza kumtokea yeyote "rejea mkurugenzi yule wa kula mkoa wa mara ambaye alishindwa kutaja hata jina lake". Suala la 1.5b hiyo ni kweli ni malengo ya halmashauri kama ambavyo ni malengo ambayo...
  2. V

    Ukumbi wa Arnautoglo safari ndefu ya Mwalimu Nyerere ilipoanzia

    Sasa kama walitaka Nyerere ashinde uchaguzi ule kwannn alishindana naye sasa?
  3. V

    Hongera Naibu Waziri wa Maji Mhe. Juma Awesu

    Kaka Ujifunze kwanza taratibu za bajeti kisha ndo uongee hayo Sent using Jamii Forums mobile app
  4. V

    Wizara ya Maji; Wizara isiyo na weledi utekelezaji wa miradi

    Taratibu za ulipaji WA wakandaras WA Maji Unaujua lakin.. Chunguzen kwanza Kabla ya kuja Kuropoka tu umu ndani..
  5. V

    Wizara ya Maji; Wizara isiyo na weledi utekelezaji wa miradi

    Ndugu Unaongea jambo usilolijua hata kidogo..
  6. V

    Penzi enzi za utineja 01

    Yaan.. Ni kwel kabisa!
  7. V

    Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar asema Mafia, Lamu pia ni sehemu ya Zanzibar

    Kuna zanzibar na pemba siyo unguja na pemva
  8. V

    Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar asema Mafia, Lamu pia ni sehemu ya Zanzibar

    Mkuu sultani aliuza maeneo mengi sana! Pwani yote ilikuwa yake! Kijiji cha mzizima ambacho ndo chanzo cha dar sasa eneo lote la posta ya zaman kuanzia eneo la kanisa la lutheran had pale kanisa la st joseph.. Hivi unajua mapambano ya kwanza ya abushiri na wajerumani yalifanyika pale magogoni...
  9. V

    Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar asema Mafia, Lamu pia ni sehemu ya Zanzibar

    Ukisoma historia vizur utagundua sehemu kubwa ya pwani ilikuwa chini ya sultan hadi mwaka 1963 kabla ya uhuru wa kenya serikali ya uingereza ilikuwa inalipa kodi serikali ya sultan kwa ajili ya eneo la mombasa... Sultan aliuza maeneo mengi sana hasa kwa upande wa tanganyika kwa ujerumani kuanzia...
  10. V

    Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar asema Mafia, Lamu pia ni sehemu ya Zanzibar

    Kijana ukisoma historia ya dar-es-salaam vizuri hata eneo la kariakoo lilikuwa shamba la sultan kabla ya kuliuza kwa bwana wissman ambaye baadye likachukuliwa na serikali ya ujeruman kwa ajili ya kujenga makazi ya watu weusi
  11. V

    Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar asema Mafia, Lamu pia ni sehemu ya Zanzibar

    Siyo kweli... Tanganyika iliitwa tanganyika territory kabla hata ya mwaka 1884 soma historia vizuri.
  12. V

    Waziri Simbachawene jiuzulu kabla hujawajibishwa sakata la wafanyakazi hewa Shinyanga

    Ilo no agizo ambalo lilitoka moja kwa moja toka kwa rais kwenda kwa wakuu wa mikoa so halikuwa agizo la waziri.. He is clean as cotton!
  13. V

    Huyu mwanamke ataniua jamani

    Ni karogwa au korogwe?
  14. V

    Huyu mwanamke ataniua jamani

    ha ha ha... nakuelewa sana aisee haujui tu...
  15. V

    Riwaya: Bondia

    mmh..jamani roman kama mdogo wangu vile
  16. V

    Tusipigane kuitoa CCM madarakani tu, lakini pia tuwazuie manyang'au kuingia Ikulu

    Utamaduni upi huo wa mtanzania unaouongea wwe dotto,je unajua kuwa hata utamaduni wa kuvaa nguo tu tuliletewa na weupe... Nyakati zimebadirika sana kijana..kuonesha upendo wako hadharan ni ishara ya kujiamini na kujielewa na kujali hisia za wengine.. Mtu ambaye hawezi kuobesha upendo hadhari...
  17. V

    Laugh Out Loud with KANSIIME

    did u guys bring Chris rock or kelvin hart or some... 90G...ha ha ha..hell no way
Back
Top Bottom