Wakuu kuna hali ya hatari ambayo sijui Magamba wanataka kufanya nini! Nina mdogo wangu ambaye ni FFU Ukonga amepigiwa simu kama masaa mawili yaliyopita kwamba aende kazini haraka kuna dharula alipofika kituoni kambiwa watu 300 mnatakiwa Arusha sasa hivi kwenda kuongeza Nguvu. kwasasa simpati kwa...
Ndugu yangu kwa kawaida nyoka akijivua gamba anakuwa na sumu kali kuliko mwanzo, kwa maana hiyo tusitarajie lolote la maana toka ccm baada ya kujivua gamba zaidi sana wataishia kubadilisha mbinu za kuiba. BILA KATIBA MPYA HATA WAKIJIVUA MENO BADO WATAIBA TU.
Mkuu shukrani kwa uchambuzi wako yakinifu, naomba uchambuzi huu upeleke kwenye makala malumu gazetini kwani nina hakika sio wabunge wote wa ccm wanaoingia humu jamvini hivyo wanaweza wasinufaike na ushauri wako, pia kwa faida ya wananchi walio wengi ambao nao hawana nafasi ya kuingia kwenye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.