Search results

  1. U

    Jaji wa Lema Aloycius Mujulizi Je ni Mtanzania wa kuzaliwa au aligawiwa?

    Hivi kweli huyu jaji mwenye elimu ya kutosha anadriki kutumiwa na wanasiasa hivyo? Lema angekuwa ccm angevuliwa ubunge kweli? Alalways I believe that "mahakama na Polisi vitaharibu amani ya nchi kutokana na kutokufuata maadili ya kazi zao". Lakini ccm watambue kuwa huko ni kutapatapa na mwisho...
  2. U

  3. U

    CHADEMA chatoa masaa 36 waliowavamia wabunge wake kukamatwa...

    Unyama huu hauvumiliki kamwe kwani sasa imekuwa ni kawaida kwa wale wasiopeenda chama cha magamba kuchalangwa mapanga. ilitokea Igunga, mtu kamwagiwa tindikali huko Arumeru na sasa Mwanza. kwa vile polisi wamehindwa, basi nguvu ya umma itumike maana polisi always ni kulinda tabaka tawala.
  4. U

    Mh Pinda busy na Mpanda yake

    Pinda sio mtoto wa mkulima. Hii ndio Tz bwana! kila kiongozi hujiwazia kwake tu.
  5. U

    MwanaHalisi: Serikali hali ngumu - yaagiza kusitisha ajira na kutopandisha vyeo kuelekea 2012

    Kinachoendelea sasa ni kwamba kila kiongozi huwaza kuiba tu. TRA ndo wamezidi ufisadi sasa nani atamlaumu mwenzake? Mtoto feki wa mkulima haachi kujitapa kuwa tuna uchumi unaokuwa kwa kasi. Sasa yeye na bosi wake wataumbuka.
  6. U

    Kafulila Kuendelea na ubunge?

    Sifa ya kwanza ya mtu kuwa mbunge ni kuwa mwanachama wa chama cha siasa. Ndo maana TZ haina mgombea binafsi. Hivyo kafulila hatakuwa na chake tena. Angalizo: Katika mabadiriko ya katiba yajayo lazima suala hili likaangaliwe kwa umakini maana kwa sasa, mbunge huwajibika zaidi kwa chama kulilo kwa...
Back
Top Bottom