Search results

  1. tanira1

    Ufugaji wa Samaki: Pata ushauri, mawazo na michango kuhusu ufugaji samaki. Jifunze changamoto, utaalamu na masoko ya Samaki

    mi nauliza nahitaji vibali gani kuanza kufuga samaki shambani kwangu
  2. tanira1

    Kilimo na biashara ya mahindi ya kuchoma

    Maadam yanaliwa utachelewa kupata majibu zama faster
  3. tanira1

    Natafuta mashamba ya kulima mahindi Morogoro

    Natafuta mashamba ya kulima mahindi ya kumwagilia Mororgoro yeyote yule mweneye idea wapi nitapata shamba ambalo nitaweza kuchimba kisima na maji yapatikane mwaka mzima anijulishe
  4. tanira1

    Wachina tena: Wakamatwa na Meno ya Tembo 81 Bandarini Dar es Salaam - Jan 2, 2014!

    nyie wpuuzi nn mnapambana wakati tembo wameashakufa kwani tembo wapo bandarini au mbugani?
  5. tanira1

    Nape: Lowassa kapoteza sifa ya kugombea

    we nape unjikaanga acha papara na kukurupuka ni wapi lowasa alitamka anaanza safari ngumu ya kugombea uraisi? yy alisema anaanza safari ngumu ya kuwasaidia wtz wapate maji na elimu inausiana nini na uraisi? mtafungwa nyinyi kwa kuaribu kiswahili kutafsiri mnavyotaka
  6. tanira1

    Tundu Lissu unasubiri nini Kujiuzulu? Umetudhalilisha

    mkuu hilo ndilo uliloacha kwa kushindwa kutaja jina lako hatuna haja ya kuamini upuuzi wako
  7. tanira1

    Ni lazima kizazi hiki kipite kwanza ndipo CCM ing'oke madarakani!

    ife mara ngapi jamani? mboba mnaipaisha sana jamani?
  8. tanira1

    Afande sele (chadema) kupambana na aziz abood (ccm) ubunge 2015 moro mjini

    wakuu afande ana nguvu kubwa moro tuulizeni wakazi wa moro ndio tunajua jamaa ajawahi kulimbuka na umaarufu amekuwa bega kwa bega tangia zamani sna kabla ajawa sauti ya simba
  9. tanira1

    TANZIA Waziri wa Fedha, Dkt. Willliam Mgimwa afariki dunia!

    poleni wafiwa ila taadhari hatutaki maziahi kama ya balali tuna ardhi ya kutosha rudisheni mwili nyumbani RIP MGIMWA
  10. tanira1

    CCM Bunda wakosa mgombea udiwani

    paaawa paaaaaaaawa paaaaaaaaaaaa
  11. tanira1

    Baraza la Mawaziri: Nani atoke, Nani abaki, Nani aingie?

    siwapendi ccm wote lakini nafikiri kangi umjui vizuelri au huna records zake''if u have lack of infomation u have no right to speek''
  12. tanira1

    Ngara yazizima,Kamanda Mawazo na Dr. Kabangira waisambaratisha CCM

    mwenzio kaleta picha leta za kwako na wewe tukuamini mpaka sasa muongo wewe
  13. tanira1

    Tumshauri Zitto...

    unaweza kuwa sawa kuna mtu alilalamika baada uzi wake wa kapuya kuyeyuka nafikiri hali ikiendelea hivyo watu wanaweza kutafuta majukwaa mengine
  14. tanira1

    Kauli za watu mtaani juu ya CCM

    mkuu watakuua hao ccm mpaka sikuku unatinga? kweli njaa yako mbaya sana doble post
  15. tanira1

    Nani anayegharamia mikutano ya Zitto inayoendelea?

    mkuu wenzio tumetoka kwenye ban juzi tu na tumechoka! hivyo ulivyojibu ni moja ya visababishi vya ban
  16. tanira1

    Dr.Slaa: Zitto anaweza kufukuzwa kabisa

    nafikiri anachofanya zzk sio sahihi kwa afya ya chama anachodai kukipigania nafikiri analipa fedha za magamba kwa style hii mpya
  17. tanira1

    Tujikumbushe watangazaji wa zamani wa Redio na TV

    hivyo karim besta hayupo abood tv huyu? amefariki lini?
  18. tanira1

    Yanayojiri Katika Mkutano wa Dr. Slaa Igunga

    wanaoweza kulala tu katika kipindi kigumu kama hiki ni miccm tu mamizigo babu hawezi kulala wakati nchi inapukutika
Back
Top Bottom